Wakitaka kuichanganya CCM,CHADEMA waitishe maandamano hapa dar uone watavyo changanyikiwa.
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.
Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini
Kazi kwenu
[/QUOTE

We Prudence kama alivyo kaka yako Padre Privatus na kaka yako Primus ni wazuri sana wa kujenga hoja watu wa Ibwera kule aragwe.
Lakini kwa hili Classmate wangu imekupuruchuka.
Kwani lazima ujue kuwa kazi ya Vyama vya Upinzani ni kuizindua na kuikosoa Serikali iliyopo madarakani kwa nia na madhumuni ya kufanya nchi iende sawia. Kwa hiyo Serikali yoyote iliyo makini ni ile inayochambua kauli za wapinzani na zile wanazoziona zinawakwaza wananchi basi inaweka kipaumbele katika kuzitatua.
Mfano mdogo ni issue ya katiba mpya. hata kule Kenya utaiona upinzani ndio ulioshinikiza na serikali ikakubali na baadae wamepata katiba mpya. Si rahisi kwa Serikali yenyewe na chama chake kutaka katiba mpya sababu kubwa katiba hiyo mara nyingi ina kipendelea chama tawala.
Kwa hiyo Upnzani si dhambi na ni wajibu wao kuikosoa serikali pale inapokosea.
Nyegera waitu
Wadini utawajua tu, maana sikuzote fikra na mawazo yao ktk kutafsiri,kufafanua, kujenga hoja,kuchambua hoja wamejikita ktk udini. Na tatizo kubwa ni kuwa wenyewe ni wa kwanza kuwaita wenzao wadini.Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.
Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini
Kazi kwenu
Baadaye tunaanza counter attack.
Peopleeeeeees..........
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.
Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini
Kazi kwenu
[/QUOTE
Huyu bwana anakaa wapi? hajafanya uchunguzi wa kutosha, anafikra za majitaka,