CHADEMA inapendwa vyuoni

CHADEMA inapendwa vyuoni

Jimmy Kadebedebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
468
Reaction score
191
Hii imedhihika wazi vyuo vikuu vya Iringa katika chaguzi za vyuo hivyo ikiwemo RUCO, MKWAWA na TUMAIN ambapo kuna kamtindo ka wagombea kutoka vyama tofauti kuitana katika vikao njeo ya chuo na kukubaliana nan achukue fomu.Hivyo CCM imeonekana kuchukiwa na kukosa nafasi vyuo vyote na nafasi zmechukuliwa na wanachama pure from CHADEMA.

Wakat wa kampeni ilijidhihirisha waz vyuon humo ikifika wakati wa mgombea ambaye ni gamba watu wanaimba gamba gamba gamba,.hivyo anaishia kutukanwa tu, dah!! CCM inatia huruma jns wasomi wanavyokichukia hiki chama.Peopleeeeeees!!!
 
ngoja hao viongozi tuanze kuwafungulia kesi za Ugaidi ndio wataijua ccm ni nini!
 
Ukweli CHADEMA inapendwa sana' kwa wale wanachama wa CCM vyuoni wengi wao ni kwa ajili ya ulaji tu. Nina uthibitisho.
 
Hii imedhihika wazi vyuo vikuu vya Iringa katika chaguzi za vyuo hivyo ikiwemo RUCO, MKWAWA na TUMAIN ambapo kuna kamtindo ka wagombea kutoka vyama tofauti kuitana katika vikao njeo ya chuo na kukubaliana nan achukue fomu.Hivyo CCM imeonekana kuchukiwa na kukosa nafasi vyuo vyote na nafasi zmechukuliwa na wanachama pure from CDM.Ht wakat wa kampeni ilijidhihirisha waz vyuon humo ikifika wakati wa mgombea ambaye ni gamba watu wanaimba gamba gamba gamba,.hivyo anaishia kutukanwa tu, dah!! CCM inatia huruma jns wasomi wanavyokichukia hiki chama.Peopleeeeeees!!!

Ok poa, naona na wewe unatimiza wajibu wako wakikatiba, hongera!
 
CHADEMA inakubalika kila maahali kwa kumbwa na watoto..
 
ngoja hao viongozi tuanze kuwafungulia kesi za Ugaidi ndio wataijua ccm ni nini!
Ninahisi vyuo vyote vinaweza kufungwa utakapofika wakati wa uchaguzi mwaka 2015, ili hao wanachuo wasipate nafasi ya kupiga kura. Stay tuned!
 
Hii imedhihika wazi vyuo vikuu vya Iringa katika chaguzi za vyuo hivyo ikiwemo RUCO, MKWAWA na TUMAIN ambapo kuna kamtindo ka wagombea kutoka vyama tofauti kuitana katika vikao njeo ya chuo na kukubaliana nan achukue fomu.Hivyo CCM imeonekana kuchukiwa na kukosa nafasi vyuo vyote na nafasi zmechukuliwa na wanachama pure from CDM.Ht wakat wa kampeni ilijidhihirisha waz vyuon humo ikifika wakati wa mgombea ambaye ni gamba watu wanaimba gamba gamba gamba,.hivyo anaishia kutukanwa tu, dah!! CCM inatia huruma jns wasomi wanavyokichukia hiki chama.Peopleeeeeees!!!

Tutawanyima mikopo hao wanafunzi!
 
CCM imekataliwa kote.................. hata kwenye kile Chuo cha CCM Kivukoni nako wamekataliwa!!!
 
Ninahisi vyuo vyote vinaweza kufungwa utakapofika wakati wa uchaguzi mwaka 2015, ili hao wanachuo wasipate nafasi ya kupiga kura. Stay tuned!

Sijui kama watafunga tena vyuo maana ni rahisi kuwabana wanafunzi wakiwa chuoni, au kama wakikuzidi unapoteza jimbo ambak vyuo vipo. Ukifunga vyuo wanatawanyika nchi nzima inakuwa hatari kwako. ningekuwa mimi CCM siwezi kufunga vyuo, kwanza vyuo vikuu vyiko kwenye majimbo machache hawawezi kuathiri mtindo wa ndiyooo bungeni bila kuchekecha mambo
 
they call it...chama cha vijana cha kidigitari, they believe ONLY in two states, either ON or OFF (True or False); ndani ya CDM hakuna uvuguvugu --analogue signals kama ilivyo ndani ya chama twawala.
 
sio huko tu wanavyuo wote kaka ni CDM ila kutokana na MIKOPO inabidi watu wajipendekeze lakini ukweli hali iko hivyo?
 
Sijui kama watafunga tena vyuo maana ni rahisi kuwabana wanafunzi wakiwa chuoni, au kama wakikuzidi unapoteza jimbo ambak vyuo vipo. Ukifunga vyuo wanatawanyika nchi nzima inakuwa hatari kwako. ningekuwa mimi CCM siwezi kufunga vyuo, kwanza vyuo vikuu vyiko kwenye majimbo machache hawawezi kuathiri mtindo wa ndiyooo bungeni bila kuchekecha mambo

Wazo zuri sana, lakini kwa bahati mbaya sana strategist wa ccm (e.g. nchemba et al.) hawalijui hilo. Wao wanafikiri kufunga vyuo ndio solution, kumbe wanazima moto kwa petrol. Wanajiita wachumi lakini hawawezi hata tu kutumia nadharia rahisi ya 'trickle down effect'. Rejea walichofanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2010, utaelewa nini nasema!!!
 
Hii imedhihika wazi vyuo vikuu vya Iringa katika chaguzi za vyuo hivyo ikiwemo RUCO, MKWAWA na TUMAIN ambapo kuna kamtindo ka wagombea kutoka vyama tofauti kuitana katika vikao njeo ya chuo na kukubaliana nan achukue fomu.Hivyo CCM imeonekana kuchukiwa na kukosa nafasi vyuo vyote na nafasi zmechukuliwa na wanachama pure from CHADEMA.

Wakat wa kampeni ilijidhihirisha waz vyuon humo ikifika wakati wa mgombea ambaye ni gamba watu wanaimba gamba gamba gamba,.hivyo anaishia kutukanwa tu, dah!! CCM inatia huruma jns wasomi wanavyokichukia hiki chama.Peopleeeeeees!!!

Ukiona msomi anashabikia CCM, kuna uwezekano wa vitu viwili, either Ubongo wake umeganda na hawezi kufikiri na kuchanganua mambo au yuko kuji-position kwa ajili ya maslahi yake zaidi, badala ya maslahi ya Taifa.Na ukiona msomi wa kizazi hiki anasimamia maslahi yake, badala ya Taifa ambalo linachangamoto nyingi ambazo na yeye anatakiwa awe anazijua, basi huyo si msomi bali amekwenda shule.Kwenda shule nina maana ya kusoma bila kuelimika.
 
Hii imedhihika wazi vyuo vikuu vya Iringa katika chaguzi za vyuo hivyo ikiwemo RUCO, MKWAWA na TUMAIN ambapo kuna kamtindo ka wagombea kutoka vyama tofauti kuitana katika vikao njeo ya chuo na kukubaliana nan achukue fomu.Hivyo CCM imeonekana kuchukiwa na kukosa nafasi vyuo vyote na nafasi zmechukuliwa na wanachama pure from CHADEMA.

Wakat wa kampeni ilijidhihirisha waz vyuon humo ikifika wakati wa mgombea ambaye ni gamba watu wanaimba gamba gamba gamba,.hivyo anaishia kutukanwa tu, dah!! CCM inatia huruma jns wasomi wanavyokichukia hiki chama.Peopleeeeeees!!!

watakachofanya wakati wa kuboresha daftari la wapiga kula zoezi hilo litafanyika wanafunzi wakiwa vyuoni na wakati wa kupiga kura watawambia nendeni likizo kupisha uchaguzi, wanafunzi inabidi mjitahidi kuwa ngangari msikubali kuyumbishwa kama mwaka 2010
 
Nyie si ndiyo mnatuambia ccm imekufa, inakuwaje mnahaha kiasi hiki.
 
Si kuipenda tu, wajindae pia kupiga kura hata kama vyuo vikifungwa waandae na gharama za usafiri iliwapige kura popote watakapokuwa wamejiandikisha. CDM itaingia madarakani 2015 kwa njia ya kura...sisimu wakithubutu kuhujumu uchaguzi wajue wazi kitakachowatokea.
 
Hili ni jambo ambalo linawaumiza wakina Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye....Hakika Chadema inapendwa na ipo ndani ya mioyo ya Watanzania wote..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom