Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................
chama kinachotetea wanyonge!!!Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................
Nimepita maeneo ya nyororo,,,mafinga,,rungemba,,, hadi migoli huko iringa vijijini,gumzo ni chadem; pamoj na TISS haswa mwigulu kutumia nguvu za ziada kuupinga ukweli;
Huyo diwani na mbunge ni wa tume na sio wa wananchi. Chadema kinapendwa na wananchi sio tume ya uchaguziinapendwa lushoto kwani mbunge wa hapo nani ni ccm au chadema diwani je fikiri ukipata jibu la chama cha mbunge na diwani pamoja na wajumbe ndio kinachopendwa acha kutuongopea wewe
Huu uzushi wendawazimu kama nyie ndiyo mtauamini. Endeleeni kujifariji tu humu jf wapiga kura kitaa hata hawana shida wanasubiri uchaguzi wakaipe kura ccm.
mkuu vipi kuhusu kuvuana magamba?
Huyo diwani na mbunge ni wa tume na sio wa wananchi. Chadema kinapendwa na wananchi sio tume ya uchaguzi
Umempiga ya uso, akijbu tena nitamshangaa, pamoja sana kamanda
Pumbafu kabisa hizi Takwimu umezitoa wapi?
Naona umechanganywa na ziara ya Obama kama Mwenyekiti wako Mbowe.
Alisahau kuwa wametoa msimamo wa kutoshiriki, kesho yake akajikuta Ikulu.
Hivi nyie Magaidi ni nani ALIYEWAROGA?