sukari yao
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 140
- 23
- Thread starter
-
- #21
Jamani angalia CCM inawauma sana!!
inapendwa lushoto kwani mbunge wa hapo nani ni ccm au chadema diwani je fikiri ukipata jibu la chama cha mbunge na diwani pamoja na wajumbe ndio kinachopendwa acha kutuongopea wewe
Nimepita maeneo ya nyororo,,,mafinga,,rungemba,,, hadi migoli huko iringa vijijini,gumzo ni chadem; pamoj na TISS haswa mwigulu kutumia nguvu za ziada kuupinga ukweli;
mkuu hawa jamaa zinawatosha wao tu,wanajitapa huku nature inawashitaki sijui wanamdanganya nani.
Yani Nipo Mtwara CDM ni gumzo baada ya CUF kuolewa na ccm
Mara hii haibiwi mtu kura na hayo mabox mnayobadirisha njiani mara hii mtashangaa kitakachowatokea, zile pistol mlizogawa nadhani mtajishoot wenyewe, wait n seemtahangaika sana wakuu ccm haifi kwa thread za uzushi kama hizi.
wewe hata ukisema chadema inapendwa na watanzania wote jibu mtalipata kwenye sanduku la kura na mzee wenu anazidi kuzeeka mtaipata tu itabidi muandae pempasi mtatikiswa sana na wenye roho ndogo hamtavuka.
mkuu hawa jamaa zinawatosha wao tu,wanajitapa huku nature inawashitaki sijui wanamdanganya nani.
chama cha matamko na ubishi usiokuwa na maana mnataka mchukue nchi muipeleke wapi wakabila wakuu nyie.
Umesahau hata Igunga CDM haikusimamisha mtu uchaguzi wa 2010 lakini uchaguzi wa marudio uliona kivumbi?mwongo wewe Mtwara hawawezi kuipenda chadema. unafikiri tumesahau yule ---- wenu Slaa aliyekuwa anakataa kujengwa daraja la mkapa na kusema halina faida kwa taifa? usijidanganye chadema ni chama cha kaskazini ndio maana hata kwenye kampeni ya udiwani kata ya Mnima chadema haikupeleka hata kiongozi mmoja. chadema wa nini sisi watu wa Mtwara.
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................
Ebu nijibu bila kupepesa macho kuhusu kujivua gamba! Nawaomba wana-cdm na wapenda mabadiliko wote mkiiona post ya mchumia tumbo yeyote muulizeni kuhusu kujivua gamba, kama hana jibu mpuuzeni!mwongo wewe Mtwara hawawezi kuipenda chadema. unafikiri tumesahau yule ---- wenu Slaa aliyekuwa anakataa kujengwa daraja la mkapa na kusema halina faida kwa taifa? usijidanganye chadema ni chama cha kaskazini ndio maana hata kwenye kampeni ya udiwani kata ya Mnima chadema haikupeleka hata kiongozi mmoja. chadema wa nini sisi watu wa Mtwara.
CHADEMA-chama cha demia na mandamano,mnapata tabu sana na hii siasa yenu chafu ya fujo na maadamano.
Unaongelea Arusha au Kilimanjaro?
Ebu nijibu bila kupepesa macho kuhusu kujivua gamba! Nawaomba wana-cdm na wapenda mabadiliko wote mkiiona post ya mchumia tumbo yeyote muulizeni kuhusu kujivua gamba, kama hana jibu mpuuzeni!