Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,280
- 1,763
Hapa ni arusha ndugu yangu,viboshori vya chadema vimegeuka dili sa hivi,vinauzwa ghali but watu wanavichukua ajabu,pamoja na vitambaa almaarufu kama vitandio vya cdm!bar karibia zote utasikia 'peopleees........!'mabadiliko hayaepukiki!karibu arusha
kwa nini zitafutwe mkuu..!? Ina maana huko hakuna watu wa mambo ya textile printing?kofia za namna gani maana hapa arusha kofia za chadema zinatafutwa sana...
mi nilidhani kagawa miamvuli ukizingatia hiki ni kipindi cha mvua huko arusha.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ni kweli wamekuja machali wawili wafupi walikuwa na suzuki escudo ndo walikuwa wanauza hizo nguo watu wamezichangamkia mpaka nikashanga sanaNimethibitisha ni kweli mkuu. Jamaa aliyezipeleka ni rafiki yangu anaishi dar. kaingia arusha leo na hizo zagazaga za chadema na akamkabidhi ndugu mmoja anaitwa omari matelephone nae ndo akatinga nazo hapo picknic. huyu omari sio mmachinga ila ni mhamasishaji mkubwa sana wa vijana. Huyu omari aliwahi kuingia disco mjini arusha akiwa na Kanzu ya machapishi ya chadema. ila viongozi wa chadema wanamuacha anaganga njaa. sijui lini watauona mchango wake
Huku mtaani kwetu zinauzwa mpaka nguo za ndani za CDM na zinatembea mbaya.
hata mimi ninazo 3....kudadadeki....tena full suti na ile nyingine ya kuhifadhi chakula cha toto....
mi nilidhani kagawa miamvuli ukizingatia hiki ni kipindi cha mvua huko arusha.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Nimethibitisha ni kweli mkuu. Jamaa aliyezipeleka ni rafiki yangu anaishi dar. kaingia arusha leo na hizo zagazaga za chadema na akamkabidhi ndugu mmoja anaitwa omari matelephone nae ndo akatinga nazo hapo picknic. huyu omari sio mmachinga ila ni mhamasishaji mkubwa sana wa vijana. Huyu omari aliwahi kuingia disco mjini arusha akiwa na Kanzu ya machapishi ya chadema. ila viongozi wa chadema wanamuacha anaganga njaa. sijui lini watauona mchango wake