Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Hata nccr mageuzi ilikuwa hivi.
tusidanganyane hapa hali ni tofauti kabisa labda danyanya watotoHata nccr mageuzi ilikuwa hivi.
Hii habari ilishadadavuliwa humu jukwaani!
Magamba hapo BP imepanda kwa 99.99% Rest in everlasting fire.
Viwanja vya kanisa! Kwani huwa hauhudhirii ibada?
Mbona hamumtambulishi kwa profession yake? Huyo ni mchungaji na hao ni waumini wake, nini cha ajabu?
cdm itasambaratika kabla ya mwaka 2015,...kama unabisha subiri utaona.
chama chenyewe ni cha kanisa hapo wako kwenye ibada na siasa inaendelea
Uchungaji sio proffession wewe. Kwani kuvaa vipendo, kupenda ubwabwa na kufuga midevu ni profession?Mbona hamumtambulishi kwa profession yake? Huyo ni mchungaji na hao ni waumini wake, nini cha ajabu?
Yeye ni mfuga midevu, ila ni mstaarabu hapelekeshwi na Ponda Issa Ponda, katibu mwenezi wa CUF.Viwanja vya kanisa! Kwani huwa hauhudhirii ibada?
chama chenyewe ni cha kanisa hapo wako kwenye ibada na siasa inaendelea
bila majimbo hakuna nchi.Ingekuwa hivyo kwa nchi nzima ningewakubali lakini kwa siasa za kimajimbo hakuna kitu hapo.
bila majimbo hakuna nchi.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Subiri uone multiplier effect yake