Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,313
- 5,265
Wewe nenda zako huko. Mikono yako imejaa damu. Damu ya Thadei ole Mushi inakulilia na lazima uilipe.Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.
Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?
Chadema tunawapenda Jitafakarini.
Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.
Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana tunajua wote ni Watumishi wa Tiifu wa Watu wale.
NB: Chama cha siasa Ujengwa na uimara wa vikao, Taratibu.
Vijana wengi wa Bavicha wameziacha akili zao wamekua wafuasi wa watu waiowajua ( wanaharakati uchwara)
Maria Sarungi alipishana na mboss zake ila kwa Sasa yupo sawa na waliompa project ya Change Tz...
Vijana Akina Sativa, Hilda, Mwaipaya muwe makini chatu atawauza anytime.
GM - Summ
y Russia.
Lema ndio alizusha hayo.Wewe nenda zako huko. Mikono yako imejaa damu. Damu ya Thadei ole Mushi inakulilia na lazima uilipe.
Jifanye tu kututukana haki ya nani damu ya Thadei ole mushi utailipa hilo nakukuhakishia tena utailipa na tundu lako believe me.Lema ndio alizusha hayo.
nilimwambia ipo siku yake.
Lema na wajinga wenzake ndio waliandika huo upuuzi.
Leo hii aibu inampata.
sawa nabiiJifanye tu kututukana haki ya nani damu ya Thadei ole mushi utailipa hilo nakukkuhakishia tena utailipa na tundu lako believe me.
Unadhani tumesahau. Kila nyendo zako tunazifuatilia kwa karibu. Braza Thadei alikufa kwa uchungu sana. Tunasubiri wakati muafaka tunaotaka sisi Thadei ole mushi apate kisasi chake.sawa nabii
Idara ya meno imejitahidi kuweka mapandikizi wake lakini amemshindwa tata kutokea TarimeHakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.
Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?
Chadema tunawapenda Jitafakarini.
Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.
Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana tunajua wote ni Watumishi wa Tiifu wa Watu wale.
NB: Chama cha siasa Ujengwa na uimara wa vikao, Taratibu.
Vijana wengi wa Bavicha wameziacha akili zao wamekua wafuasi wa watu waiowajua ( wanaharakati uchwara)
Maria Sarungi alipishana na mboss zake ila kwa Sasa yupo sawa na waliompa project ya Change Tz...
Vijana Akina Sativa, Hilda, Mwaipaya muwe makini chatu atawauza anytime.
GM - Summ
y Russia.
Wanaharakati siku zote hawana rafiki wala adui wa kudumu! Wao kila kitu ni harakati! They are all over the place... Agenda zao mara nyingi ni kujadili kuhusu watu na matukio! Ni wa kujihadhari nao sana!Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.
Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?
Chadema tunawapenda Jitafakarini.
Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.
Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana tunajua wote ni Watumishi wa Tiifu wa Watu wale.
NB: Chama cha siasa Ujengwa na uimara wa vikao, Taratibu.
Vijana wengi wa Bavicha wameziacha akili zao wamekua wafuasi wa watu waiowajua ( wanaharakati uchwara)
Maria Sarungi alipishana na mboss zake ila kwa Sasa yupo sawa na waliompa project ya Change Tz...
Vijana Akina Sativa, Hilda, Mwaipaya muwe makini chatu atawauza anytime.
GM - Summ
y Russia.
Mwanetu ulipotea sanaGM - Summ
y Russia.
Walimuua nani tena au ndio ile kesi ya jamaa?Wamo, mmojawapo huyu mleta mada na mwingine anaitwa TumainiEl
Komwe hupitwimhh kumbe kuna wauaji humu
Napigia mstari tutafute UGALI wetu wa kila sikuHii kitu inayoitwa siasa tuwaachie wanasiasa sisi tutafute ugali wetu wa kila siku
Walimuua nani tena au ndio ile kesi ya jamaa?
Katibu Mkuu wa chama ameshalisema hilo. Busara ni kunyamaza. Siku mkikubali kuendeshwa na Wanaharakati mtakosa kabisa muelekeo wa kichama!Lema ndio alizusha hayo.
nilimwambia ipo siku yake.
Lema na wajinga wenzake ndio waliandika huo upuuzi.
Leo hii aibu inampata.