CHADEMA inanuka

Kama Chadema inatetea wauza unga Na hao wauza unga wamepewa mtaji Na CCM
 
Chadema inanukia harufu nzuri sana ya ya marashi ambayo kadri muda unavyoendelea Watanzania wanazidi kupenda harufu hiyo mwanana! NIlifurahi sana kuona kwenye twiter ya Riziwani akiwa amemjongelea Lowasa ili angalao kupata harufu hiyo safi!!
 

Muulize kwanini amempangia nyumba International Drug Traficker??Na wala hakumtaja kwenye wale 65 wala 97 wala kwenye wasanii.

Muulize Kwanini ameacha wao njia zote zinafanyiwa kazi na polisi kuweka kuwa kamata wauza unga??

Je GSM ni akina nani??Maana wamemnunulia Mkewe Benzi la $250,000 ,ile Lexus ya $400,000 hebu tujue amepata wapi pesa??

GSM ni wakwepaji wa kodi,watakatishaji wa pesa na drug dealers wanahusiano gani na Makonda??

Kaka yangu ukiishi kwenye nyumba za kiooo marufuku kurusha mawe.

Majizi makubwa Chama cha Masogange,wafilisi wa raslimali Mali za Taifa wote mnafaa kunyongwa tu.Chama cha Majangili ndicho kinakinyaa kabisa.
 
Cdm kwa sasa nikichaka cha waovu na Wachafu

Zile gari mbili umezipataje??GSM ndiyo drug dealers wakubwa na bado wamekujengea majumba,magari ya bure na kurenovate nyumba yako Tuambie uhusiano wako na GSM

Majangili mnaweza hata kuwapangishia nyumba International drug Traffickers aka Masogange.

Tuambieni nani yupi nyuma ya Bilioni nane za Kivuko kibovu.hakuna msafi huko CCM wote ni wachafu nafuu chooni cha shimo
 
Lowasaaaaa hasafishikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yuko chadema!

Anayesafishika ni yule aliyenunua kivuko kibovu kwa Bilioni nane??

Au.yule anayejengewa nyumba na Majizi na drug dealers wa GSM mmeshajisafisha.

Mnaiba mpaka vyeti.
 

Ningeli shangaa umalize Ngonjera bila ya kuchanganya Viroba humo!!!

HATA MASHOGA KIMBILIO LAO NI CDM!!!
 

Hahahahahaha achana na huyo kichuri wakati mtaja majina ndiyo anayefadhiliwa na Drug Dealers GSM na kumpangishia nyumba International Drug Transporter
 
Usafi wa nyumba ya jirani ni nini. Si hadi ilikosa mtu ikabidi wampe mwendawazimu kijiti na kazi yake tunaiona. Taja mafanikio yake.
 
Anayesafishika ni yule aliyenunua kivuko kibovu kwa Bilioni nane??

×{Au.yule anayejengewa} nyumba na Majizi na drug dealers wa GSM mmeshajisafisha.

Mnaiba mpaka vyeti.
Hivi unajua hata matumizi ya Alama ktk Ngonjera zako!!
Ulisomea UDJ
unalazimisha Siasa!!!
 
Ningeli shangaa umalize Ngonjera bila ya kuchanganya Viroba humo!!!

HATA MASHOGA KIMBILIO LAO NI CDM!!!

Umeshamwambiwa Bwana Madereva akapime "Sugu" kama siyo mtoto urudi.Hahahaha watoto makazi kweli.Akapime SUGU basi.
 
Usafi wa nyumba ya jirani ni nini. Si hadi ilikosa mtu ikabidi wampe mwendawazimu kijiti na kazi yake tunaiona. Taja mafanikio yake.

Mafanikio ni kuiba vyeti na kuwaweka vizuri drug dealers na wasafishaji wa pesa aka GSM
 
chadema inakua kama jalala,

ikishatumika huko wana i dump kwao,
 
Nilikua napitia thread yako,nikagundua "wewe ni mweusi kimawazo.."
*si mbaya,kama "ukitoa akili zako mfukoni,utajirekebisha..."
 
CHADEMA inanuka?? Inanuka CCM inayotengeneza watu wachafu,sisi tunawaungamisha na kuwasafisha hatuwezi kunuka,inanuka CCM inayokaa na watu waliooza miaka 20,wakisafishwa ndo inagundua kuwa walikuwa wachafu.CCM IMEOZA INANUKA.
 
Kona IPI anapongezwa? huku kwetu hiyo kona haijafika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…