CHADEMA inaendeshwa "kimagumashi"...

Hukujua kama hayo yote yatatokea???? Hakuna hata mmoja mwenye uchungu na nchi. Wanasema kwa midomo, wakati mioyoni ni mbwa mwitu wakali. Ulitegemea kama mbunge machachali kwa kutetea umma, leo hii angekula rushwa?????? wacha bana, hakuna mwenye uchungu na nchi hata mmoja, wote wana tetea matumbo yao tu.
 
Ukweli husemwa:


Hapo umenena. Tanzania hatuna vyama hasa vya kisiasa lakini natumaini tuna watu bora wa kuiongoza nchi yetu. I don't care, anatoka chama gani cha siasa au ni mgombea wa kujitegemea. Ninataka kiongozi makini mwenye uwezo wa kupambana na vizingiti na misukosuko ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani na nje ya nchi.

Kwa nini watu wanapiga filimbi ya vyama wakati katiba mpya ijayo inaweza ikawa na kipengele cha mgombea binafsi. hata kama haitakuwa hivyo. Tutamchagua mtu kutokana na uwezo wake siyo ilani ya chama. afterall, what point of having ilani ya chama wakati hata nchi haijitoshelezi kimapato.

Ndiyo hayo ya Kikwete na CCM wanaahidi kwenye ilani yao lakini hawajui hata pesa itatoka wapi.

Kwa sasa kilichobaki ni safari na bakuli kila kukicha kwenda kuomba pesa nje angalau ili kutimiza yale waliyotuahidi.

We don't need this again.
 


Umekosoa sawa,mbona hauna pendekezo/sahisho?,tunamashaka sana na wewe kuhusu uelewa wako
 
Hii nayo ni post! Asante kwa kunipotezea muda
 
Sasa chama gani cha siasa Tanzania hii hakina magumashi? Kwani uchaguzi mkuu wa chama mwaka huu, utaendeshwa na fedha kutoka katika mfuko gani?
 

umeamka na nani...?

wangapi wameboeka........?

acha porojo...............
 
umeamka na nani...?

wangapi wameboeka........?

acha porojo...............

signature yako inahuusu kweli kwenye majibu yangu. mwambie leo niko nacheza na coliform kama vipi njoo ufanye isolation.
 
Sasa chama gani cha siasa Tanzania hii hakina magumashi? Kwani uchaguzi mkuu wa chama mwaka huu, utaendeshwa na fedha kutoka katika mfuko gani?

Kwa hiyo magumashi ni utaratibu ramsi wa vyama vyote vya siasa Tanzania?!!!
 
Kwa hiyo magumashi ni utaratibu ramsi wa vyama vyote vya siasa Tanzania?!!!

That is something to ponder. We are well wishers and one of the things that will help this country alot is to fight corruption. Kama magumashi yakipungua kwenye vyama vya siasa hata rushwa nayo itapungua. Inakuwa ngumu kupambana na wala rushwa kama wao ndio wafadhili wa vyama vya siasa na wana siasa wenyewe.
 

Well said, thanks...
 
Bottom down hawajawafikia Magambaz aka CCM.:eek2:
 
Katiba ya chama haisomwi kipengele kimoja pekee bali vyote ndipo ufanye hitimisho. pILI kumbuka katiba hiyo huanzisha vyombo na kuvipa mamlaka MBALIMbali , je umesoma mamlaka zake.

CDM ina watu waliobobea katika sheria haiwezekani suala hili likafanyika bila kuwa na kipengele katika katiba kinachoruhus hilo.

nina mashaka kama una katiba ya cdm unayo ya zamani, ebu waombe wakupatie nakala halisi inayotumika sasa hivi, uilete jamvini, tuidownload kisha tuisome na kukujibu kama wadau wengine wapenda maendeleo

no research no right to speak
 

Una kipengele unachojua kimeruhusu au unatumia nadharia tu? Ongea kwa evidence...
 

Thanks King of Kings, umefanya kichwa changu nikihamishie kwenye kufikiria mambo mengine muhimu kuliko ko-comment kwa huyu bwn.
 
Una kipengele unachojua kimeruhusu au unatumia nadharia tu? Ongea kwa evidence...

mm huwa nashiriki ktk kuandaa katiba za vyama na makampuni, ninajua huwa inawekwa open handed clause ili kujumuisha masuala ambayo hayakutajwa moja kwa moja ktk Katiba. kipengele hicho huwezesha kampuni/chama kufanya jambo lolote hata kama halijatajwa katika katiba ilimradi tu jambo hilo lina lengo la kuleta faida kwa chama/kampuni husika. Hivyo ninachosema nina uhakika nacho ndio maana nimeomba u-attach katiba ya sasa ya cdm ili tuipitie tuone endapo haina vipengele/kipengele cha jinsi hiyo. mm ninayekuleza ni mtaalamu katika masuala haya ndiyo maana nimeomba nakala ya katiba nikijua nikiiipata nitafungua eneo gani ambalo huwa tunaweka katika uandishi wa katiba.

natumai nimeeleweka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…