Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,872
- 10,094
Jiongelee ww na maisha yako hii nchi inakusaidia nn kukuwezesha uendelee na maisha yako kiafya,kiuchumi kimiundo mbinu nicca b lik f* Btch ass nigga!
Mnajulikana kwa kutukana,ndio maana post 4 tu matusi tele.
We nani atakutafutia maisha kama hujitumi mwenyewe,we umeona wapi nchi inamfanyia mtu bila yeye mwenyewe kwanza kujitafutia maisha then ndio maendeleo ya nchi yapatikane kwake.
Au ndio kujidanganya kwamba kuna viongozi wataleta nchi ya mito ya maziwa na asali na nyie kushangilia,maana hata mtoto wa Nursery lazima atabisha ila inashangaza mtu mzima kushabikia uzuzu huu.
Hiki chama cha Chadema kinanichanganya akili sana. Nakumbuka kauli za Chadema kwa wananchi kipindi cha uchaguzi kuwa wakomae mpaka kieleweke. Sasa mimi nauliza kuwa ni kwa nini wao wanashindwa kukomaa ndani ya Bunge mpaka kieleweke badala ya kutoka nje? Ama hiyo kauli yao huwa inamaanisha nini kama wao hawataki kukomaa mpaka kieleweke?? Ama wanataka hiyo kauli itumike kwa wananchi tu lakini sio kwao?
Mende unasikia harufu ya mavi au??
Mi bado sijaafiki wao kutoka nje..huko nje tutawasaidiaje cc wananchi?au tutabaki kulialia wote huko nje bila msda
Jiongelee ww na maisha yako hii nchi inakusaidia nn kukuwezesha uendelee na maisha yako kiafya,kiuchumi kimiundo mbinu nicca b lik f* Btch ass nigga!
Mende naona upo toilenga??