mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
wewe unaelewa vipi kukamatakukamataHiki chama cha Chadema kinanichanganya akili sana. Nakumbuka kauli za Chadema kwa wananchi kipindi cha uchaguzi kuwa wakomae mpaka kieleweke. Sasa mimi nauliza kuwa ni kwa nini wao wanashindwa kukomaa ndani ya Bunge mpaka kieleweke badala ya kutoka nje? Ama hiyo kauli yao huwa inamaanisha nini kama wao hawataki kukomaa mpaka kieleweke?? Ama wanataka hiyo kauli itumike kwa wananchi tu lakini sio kwao?
ujinga ,wingine bwana ,na wewe utajiita great thinker! Umekopy maneno na mjumbe wa bmk mwana dada asiye jitambua kama wewe.Hiki chama cha Chadema kinanichanganya akili sana. Nakumbuka kauli za Chadema kwa wananchi kipindi cha uchaguzi kuwa wakomae mpaka kieleweke. Sasa mimi nauliza kuwa ni kwa nini wao wanashindwa kukomaa ndani ya Bunge mpaka kieleweke badala ya kutoka nje? Ama hiyo kauli yao huwa inamaanisha nini kama wao hawataki kukomaa mpaka kieleweke?? Ama wanataka hiyo kauli itumike kwa wananchi tu lakini sio kwao?
Karibia falsafa zote za CHADEMA ni za kitapeli, kuna ile moja "DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE NI UOGA" , sote huwa tunashuhudia kikitokea cha kutokea jinsi Makamanda wanavyolala mbele, sio viongozi sio wafuasi, wote lao moja.
Lema alianzisha fujo pale Chuo cha uhasibu Arusha, mambo yalipoharibika alikimbia na kuacha VX lake. Pale SOWETO bomu liliporushwa LEMA na MBOWE hawakujulikana walipopita. hiyo ni mifano michache tu! CHADEMA HAWAAMINIKI!
Hiki chama cha Chadema kinanichanganya akili sana. Nakumbuka kauli za Chadema kwa wananchi kipindi cha uchaguzi kuwa wakomae mpaka kieleweke. Sasa mimi nauliza kuwa ni kwa nini wao wanashindwa kukomaa ndani ya Bunge mpaka kieleweke badala ya kutoka nje? Ama hiyo kauli yao huwa inamaanisha nini kama wao hawataki kukomaa mpaka kieleweke?? Ama wanataka hiyo kauli itumike kwa wananchi tu lakini sio kwao?
mende naona uko chooni!
Msalani umemuona mpangaji wako Mende..Karibia falsafa zote za CHADEMA ni za kitapeli, kuna ile moja "DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE NI UOGA" , sote huwa tunashuhudia kikitokea cha kutokea jinsi Makamanda wanavyolala mbele, sio viongozi sio wafuasi, wote lao moja.
Lema alianzisha fujo pale Chuo cha uhasibu Arusha, mambo yalipoharibika alikimbia na kuacha VX lake. Pale SOWETO bomu liliporushwa LEMA na MBOWE hawakujulikana walipopita. hiyo ni mifano michache tu! CHADEMA HAWAAMINIKI!