TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,227
HahahahaaaaaaKama unaoangalia kikao hiki cha Watia nia na Uongozi wa CHADEMA utakubaliana na mimi kuwa hiki chama sasa kimepevuka kustahili kupewa Uongozi wa nchi yetu.
Hiki Chama kimekomaa sana. Kina uwazi wa Demokrasia ya kiwango cha juu cha kutisha.
Kina Viongozi makini wanaoonesha wazi mapambano ya Hoja na kuonesha sayansi ya siasa ilivyo hasa.
Kweli kazi ipo