Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,970
Kweli kabisa. Yaani naamini kabisa kuwa chama hiki kikiiongoza Tanzania, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.Big brains ziko opposition sio CCM.
Ccm ni janga la taifaLeo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM idiot na watu maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.
Imezidiwa sana na CHADEMA kwa kuwa na watu/ vijana wenye maarifa bora na akiliCcm ni janga la taifa
CCM hakuna ubuni ni maelekezo ya Mwenyekiti na Mwenyekiti mwenyewe ana miaka 68 hana ubunifu wowote Makamo yeye ana miaka 107 ni kikongwe. Hovyo kabisa ndiyo maana wanategemea polisi pekeeLeo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM iliyokosa watu wenye uwezo sqhihi maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.
Kama tu Failures akina Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable ndiyo wana CCM, Washauri na Machawa Gegedu wa Mwenyekiti Taifa unategemea nini?Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM iliyokosa watu wenye uwezo sqhihi maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.
Tokea nikuone hapa JamiiForums hujawahi kuwa na Akili na una vijitabia vya Wanaume wa Kinondoni Mkwajuni.Yaani kutaka kuwatapeli watanzania na cryptocurrency sijui CHADEMA COIN ndio akili? We sema chadema kumejaa matapeli wakiongozwa na Godbless Lema
CCM wanabebana watoto wa vigogo na kupeana fursa wao kwa waoBig brains ziko opposition sio CCM.
CCM wao ni kula keki ya Taifa vigogo na watoto wao tuWatu Wenye akili, huonekana kwa Matendo (matokeo) Yao sio wingi wa maneno na mipango mikakati
KabisaaKweli kabisa. Yaani naamini kabisa kuwa chama hiki kikiiongoza Tanzania, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
We popoma una akili gani zaidi ya kujaza matope tu kichwani, una msongo mkubwa sana wa mawazo kwa kukosa hela, fanya kazi hata ya kuuza nyanya sokoni ujikwamue kiuchumiTokea nikuone hapa JamiiForums hujawahi kuwa na Akili na una vijitabia vya Wanaume wa Kinondoni Mkwajuni.
Kama Yaani akili mnayojisifia nayo nyie vilaza ni kutembeza Bakuli ndio kusema nyumbu Wana akili kuwazidi 😁😁Kama tu Failures akina Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable ndiyo wana CCM, Washauri na Machawa Gegedu wa Mwenyekiti Taifa unategemea nini?
Tangu utatuliwe marinda akili zote zimehamia kwenye masaburi!Yaani kutaka kuwatapeli watanzania na cryptocurrency sijui CHADEMA COIN ndio akili? We sema chadema kumejaa matapeli wakiongozwa na Godbless Lema
CCM kumejaa machawa wa Mama!Big brains ziko opposition sio CCM.
Upo Sahihi kabisaaKama tu Failures akina Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable ndiyo wana CCM, Washauri na Machawa Gegedu wa Mwenyekiti Taifa unategemea nini?