CHADEMA imetusaliti wengi

CHADEMA imetusaliti wengi

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Tulilelewa katika misingi ya upambanaji kwa kila hali hata kama ni kupoteza maisha kwa ajili ya chama tulikuwa tayali.

Nakumbuka 2008 uchaguzi mdogo Tarime nilikamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi na kusafirishwa na baadhi ya vijana tukaswekwa rumande wilaya nyingine (Serengeti) bila mtu yoyote kujua na tulikuja kuachiwa baada ya Uchaguzi

Nakumbuka 2010 pia nililazwA ndani mara nyingi sana kwa ajili ya kukipigania chama.

Nakumbuka yaliyotukuta uchaguzi mdogo kule Tabora naumia sana
Nikikumbuka tukio la Arusha ingawa sikuwepo ila wenzetu walipoteza maisha
Hivyo ndivyo tulivyojengwa kukipambania chama kwa kila namna bila kusita huku tukiongozwa na Slaa na kamwe hatukurudi nyuma

Inauma sana leo mtu from nowhere asiyejua dam ngap za wanachama zimepotea na watu wangap ni vilema wengine wamepoteza mpk mali zao kwa ajili ya chama aje na kuanza kuwa mwamuzi mkuu wa chama.

Eti kuanzia sasa sisi sio chama cha wanaharakati!! Hahahaha! Inachekesha na inatia uchungu sana!!
Wengi tulitulia ndani ya chama tukijua akishindwa uchaguzi basi ataondoka akachunge ng'ombe atuachie chama chetu tukifanyie recycling na kukirudisha katika misingi ila hajaondoka na amegeuka mmiliki chama

Naanza kuamini Mbowe alimuuzia maana Mbowe hajawahi kaliwa kichwani na mtu yoyote kwenye chama akatulia iweje kwa huyu???
Watatukimbia wengi maana watu hawaoni jipya katika chama, hatuwezi kusimama mbele za watu tukakemea uovu maana muovu ndo mwamuzi mkuu katika chama

Halaf tukisema tunahama mnatuita wasaliti!!!! Nani msaliti kati yetu na Mbowe???
Tunaitaka CHADEMA ASILI yetu irudi hiki sio chama cha mtu mmoja bali cha wanachi
 
Nafsi ya Mwana CHADEMA aliyepitia hivyo ulivyo vitaja kamwe haiwezi kukwamishwa na kusimamishwa na sababu uliyoitaja.

Tunaamini kuwa hujawahi kuwa wa Miongoni mwetu, ila unajaribu kujivika vazi la Kihindi ikiwa wewe ni mpare!
Sawa mwanachama wa posho maana we kila asemacho mbowe ni ndio
 
Nafsi ya Mwana CHADEMA aliyepitia hivyo ulivyo vitaja kamwe haiwezi kukwamishwa na kusimamishwa na sababu uliyoitaja.

Tunaamini kuwa hujawahi kuwa wa Miongoni mwetu, ila unajaribu kujivika vazi la Kihindi ikiwa wewe ni mpare!
hizi ndio akili mlizolishwa. mtu anazungumza hali halisi wewe unaleta porojo. au hivi ndivyo mlivyofundishwa. hakika kwa mawazo haya ikulu mtaisikia ndotoni. msidhani wananchi ni mambumbumbu wa kubaini uozo na ulaji pesa unaofanywa na baadhi ya viongozi. shutuma zinatolewa mnataka kufichaficha. sasa baada ya kuficha what next.
 
Hembu chukua time ujikate Kule........usilete kabisa unafiki hapa, hujawahi kuwa CDM hata siku moja.
 
Chadema mtatoana ngeu tu,lazima mkubali tu kuwa chama kimegawanyika,kuna wafuasi wa Slaa vs wafuasi wa Mbowe/lowassa
NCCR walianza hivi hivi,mrema alijifiicha chini ya meza lakini alikula makwenzi ya kutosha na upara wake

Marando eti aliibiwa milioni 50 za ruzuku kwenye taxi,bavicha nao kuna mtu kaibiwa milioni 10, za posho alizilalia chini ya mchago wa kitanda chake
Sio siri,kwa sasa lowassa ndio starring,amekamata mameya wote,juzi aliwaita Arusha akawaambia marfuku kugomea shughuli za serikali
Lowasa amekamata wabunge wote,juzi walichoongea siri yao

Vikao vyote hivi si vya kikatiba,lakini havikemewi na sasa mzee kishajitangazia kugombea 2020,alifanya Zzk,aligombewa kama mpira wa kona...Chadema na bavicha wapo bize na uenyekiti wa Magufuli,huku chama chao kinazidi kukatika
 
kamanda suala la chadema asili lipo na linaundwa upya, usihofu. tulishatoa matamko kuwa Mbowe arudishe watuhumiwa wa ufisadi woote kule walipotoka au la wakatafute chama kingine, ingawa tunaona kwa sasa hana nguvu ya kukemea huko na kutoa maamuzi magumu. hatujui amekuwaje
 
Kwa Thread Yako Naanza Kuchange Mawazo Kuhusu Chadema ... Naona Kishakosa Uelekeo
 
Sekeseke la Chadema asili lazima liibuke tu...likizuiliwa leo litaibuka 2020
 
Pool
Tulilelewa katika misingi ya upambanaji kwa kila hali hata kama ni kupoteza maisha kwa ajili ya chama tulikuwa tayali.

Nakumbuka 2008 uchaguzi mdogo Tarime nilikamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi na kusafirishwa na baadhi ya vijana tukaswekwa rumande wilaya nyingine (Serengeti) bila mtu yoyote kujua na tulikuja kuachiwa baada ya Uchaguzi

Nakumbuka 2010 pia nililazwA ndani mara nyingi sana kwa ajili ya kukipigania chama.

Nakumbuka yaliyotukuta uchaguzi mdogo kule Tabora naumia sana

Nikikumbuka tukio la Arusha ingawa sikuwepo ila wenzetu walipoteza maisha

Hivyo ndivyo tulivyojengwa kukipambania chama kwa kila namna bila kusita huku tukiongozwa na Slaa na kamwe hatukurudi nyuma

Inauma sana leo mtu from nowhere asiyejua dam ngap za wanachama zimepotea na watu wangap ni vilema wengine wamepoteza mpk mali zao kwa ajili ya chama aje na kuanza kuwa mwamuzi mkuu wa chama.

Eti kuanzia sasa sisi sio chama cha wanaharakati!! Hahahaha! Inachekesha na inatia uchungu sana!!

Wengi tulitulia ndani ya chama tukijua akishindwa uchaguzi basi ataondoka akachunge ng'ombe atuachie chama chetu tukifanyie recycling na kukirudisha katika misingi ila hajaondoka na amegeuka mmiliki chama

Naanza kuamini Mbowe alimuuzia maana Mbowe hajawahi kaliwa kichwani na mtu yoyote kwenye chama akatulia iweje kwa huyu???

Watatukimbia wengi maana watu hawaoni jipya katika chama, hatuwezi kusimama mbele za watu tukakemea uovu maana muovu ndo mwamuzi mkuu katika chama

Halaf tukisema tunahama mnatuita wasaliti!!!! Nani msaliti kati yetu na Mbowe???

Tunaitaka CHADEMA ASILI yetu irudi hiki sio chama cha mtu mmoja bali cha wanachi
 
Chadema mtatoana ngeu tu,lazima mkubali tu kuwa chama kimegawanyika,kuna wafuasi wa slaa vs wafuasi wa mbowe/lowassa
Nccr walianza hivi hivi,mrema alijifiicha chini ya meza lakini alikula makwenzi ya kutosha na upara wake
Marando eti aliibiwa milioni 50 za ruzuku kwenye taxi,bavicha nao kuna mtu kaibiwa milioni 10, za posho alizilalia chini ya mchago wa kitanda chake
Sio siri,kwa sasa lowassa ndio starring,amekamata mameya wote,juzi aliwaita Arusha akawaambia marfuku kugomea shughuli za serikali
Lowasa amekamata wabunge wote,juzi walichoongea siri yao
Vikao vyote hivi si vya kikatiba,lakini havikemewi na sasa mzee kishajitangazia kugombea 2020,alifanya Zzk,aligombewa kama mpira wa kona
Chadema na bavicha wapo bize na uenyekiti wa magufuli,huku chama chao kinazidi kukatika
Ndo amejilipa
 
Tulilelewa katika misingi ya upambanaji kwa kila hali hata kama ni kupoteza maisha kwa ajili ya chama tulikuwa tayali.

Nakumbuka 2008 uchaguzi mdogo Tarime nilikamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi na kusafirishwa na baadhi ya vijana tukaswekwa rumande wilaya nyingine (Serengeti) bila mtu yoyote kujua na tulikuja kuachiwa baada ya Uchaguzi

Nakumbuka 2010 pia nililazwA ndani mara nyingi sana kwa ajili ya kukipigania chama.

Nakumbuka yaliyotukuta uchaguzi mdogo kule Tabora naumia sana

Nikikumbuka tukio la Arusha ingawa sikuwepo ila wenzetu walipoteza maisha

Hivyo ndivyo tulivyojengwa kukipambania chama kwa kila namna bila kusita huku tukiongozwa na Slaa na kamwe hatukurudi nyuma

Inauma sana leo mtu from nowhere asiyejua dam ngap za wanachama zimepotea na watu wangap ni vilema wengine wamepoteza mpk mali zao kwa ajili ya chama aje na kuanza kuwa mwamuzi mkuu wa chama.

Eti kuanzia sasa sisi sio chama cha wanaharakati!! Hahahaha! Inachekesha na inatia uchungu sana!!

Wengi tulitulia ndani ya chama tukijua akishindwa uchaguzi basi ataondoka akachunge ng'ombe atuachie chama chetu tukifanyie recycling na kukirudisha katika misingi ila hajaondoka na amegeuka mmiliki chama

Naanza kuamini Mbowe alimuuzia maana Mbowe hajawahi kaliwa kichwani na mtu yoyote kwenye chama akatulia iweje kwa huyu???

Watatukimbia wengi maana watu hawaoni jipya katika chama, hatuwezi kusimama mbele za watu tukakemea uovu maana muovu ndo mwamuzi mkuu katika chama

Halaf tukisema tunahama mnatuita wasaliti!!!! Nani msaliti kati yetu na Mbowe???

Tunaitaka CHADEMA ASILI yetu irudi hiki sio chama cha mtu mmoja bali cha wanachi
Wewe ushaamua kuhama kutoka cdm kwenda ccm lkn bado unajikomba kwa kwa wana cdm huoni aibu? Lumumba wahedi
 
Back
Top Bottom