Tafadhali tuma neno CHADEMA kwenda 15710 kwa mchango wako wa sh 300 tusaidiane kukiimarisha chama kwa ukombozi wa nchi yetu dhidi ya mafisadi tafadhali julisha na wengine lucy owenya; sender +255769955123
I have no problem kwa kuwa nilishasikia through general meeting. I feel proud of it as i have no any contact with senior leaders for CHADEMA. Does this msg hold the truth?
Tuambie tusambaze, tupate habari zenu kila kukicha.
Namba halisi ya CHADEMa bado hajaanza kufanya kazi, kwa taarifa kuwa bado wanafanyia kazi database yao kwa ajili ya kufanyia kazi na kutunzia kumbukumbu hivyo wote hawa ni macybers wanaotaka kujipatia pesa toka kwa watu mbalimbali.Hiyo namba sio ya CHADEMA ni ya watu wa kawaida