CHADEMA Imekaaje?

CHADEMA Imekaaje?

Hata mbuyu ulianza kama mchicha. u can fool some people 4 sometmes but u cant fool all the people all the time
 
Nawaomba wadau wa CHADEMA watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-

Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho

Wanazi wa CHADEMA leteni majibu

Kwa nini umewauliza CHADEMA na haujauliza kwa UDP, UPDP, SAU, NCCR, na vyama vingine?
 
Hawana hela... Mbona wala si la kuumiza kichwa..
 
uchaguzi ulifanyika wakati bado hawajapata elimu ya uraia subiri 2014, hata Bumbuli CDM walikuwa hawana viongozi ila uchaguzi wa juzi nafikiri umesika kilichotokea.
 
Kwasababu wana Mtwara walikuwa wameaminishwa na ile sera ya Udini, na walifikiri Shemeji yao atawabeba... ila kwa swala la gesi sasa wala usiwe na wasiwasi... tutachukua na Ubunge kabisa...
 
kauliza, mwenyeji wa huko atuambie manake maeneo yote yaliyotajwa inaonekana kama hakuna watu wa imani ile ambayo chama kimeanzishwa kupitia kwayo.

imani gani??unatumia masaburi kufikiri???
 
Back
Top Bottom