Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Hostels ndio talk of town.Kila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
Tena kwa sasa hivi haya machadema yameacha kila kitu yamejazana yanajadili nyufa za hosteli. Baada ya hapo yatahamia kwingine kama kawaida yao.Kila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
Hamna kitu hapo, amini nakwambia pamoja na makosa yao yote hayo, wakipewa uhuru wa kufanya siasa kama wenzao wa CCM hawatakuwa kama walivyo. Hadhira ni ile ile ndugu.Kwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.
You said it mkuluSiyo enzi ys Slaa ni.enxi ya JK kwa dababu tatizo siyo chadema ni utawala huu.
Well saidSiyo enzi ys Slaa ni.enxi ya JK kwa dababu tatizo siyo chadema ni utawala huu.
We mjinga sana....cdm imekuwa mzigo kwa nani? Kama mzigo kwanini uchaguzi wa juzi militumia mitutu? Kwanini mmezuia mikutano? Kwanini manatia watu risasi? Kwanini mnanunua watu? You're very stupid you womanKwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.
Mbona wewe ni mzigo lkn baba yako hajakutolea radhi, semea risasi basi za LisuKila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
magu amepiga hela hostel UDSm, muda si mrefu tutakuwa na msiba wa kitaifaKwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.