Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 291
- 432
Uzuri wa kitu mpaka kitoweke mkuuKwa hiyo magufuli alipendwa?
Hii hali iliyojitokeza sasa ya wananchi kuonyesha chuki dhidi ya ccm na serikali yake ni fulsa kubwa sana kisiasa
Wazo zuri, ila CHADEMA IPO VIZURI kuliko jana, lazima kwenda nayo yote, Mwenyekiti wetu tunamtaka sio OMBI, CCM ilisha kwisha, KWA Sasa ni CHADEMA VS DOLA, nao watatulia tu ni swala la mdaKwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.
Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.
Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa
Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?
Take care
CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi.
Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa
Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na ccm .
majonziHakuna Chadema bila Mbowe bwashee!
Acha kuwadanganya.
Uungwaji mkono kwa wapenda haki wote, namustakabali mwema na wenye manufaa kwa taifa ndio kukiimarisha chama kinachotetea haki kwa wote na taifa letu. mojawapo ni Chadema na baadhi ya vyama ambavyo havitumiki kuuvuruga upinzani kwa manufaa ya watawala na kikundi cha wachache wanaotanguliza maslahi binafsi. Kwa pamoja tuidai katiba mpya itakuwa ni mwanzo wa mabadiliko ya kweli na yamanufaa kwa taifa.Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.
Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.
Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa
Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?
Take care
CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi. Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa
Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na CCM.
Hivi uliona kilichotokea jana kule Musona hadi JWTZ imeingizwa kwenye siasa chafu za CCM. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.
Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.
Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa
Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?
Take care
CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi. Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa
Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na CCM.
Ujumbe wake so umekufikia lakini,kama mnafanya ujinga wa kiwango cha kuinekana na hata unayemshamulia kutokuwa na uelewa huoni kuwa huyo anauelewa kukuzidi, na unatumia mbinu ya hovyo ya kumshambulia ili asikuambie ukweli wa madhaifu yako/ yenu?Nimeshindwa kusoma ujumbe wako kwani unakera na hauna ladha kabisa! Kwanza rudi darasani ukajifunze matumizi ya "l" na "r" !!!
Nyie wasukuma ni shida sana! " Mheshimiwa laisi !? tunakamilisha miladi !? Tumeludi nyumbani!! Poor minds!
Kuludi× ni kurudi√
Kugalimu× ni Kugharimu√
Shule za kata zimetuzalishia majanga!!!