Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 291
- 432
Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.
Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.
Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa
Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?
Take care
CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi. Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa
Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na CCM.