Chadema imalizie mtaji wa CCM

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Sasa ni wakati wa CDM kujenga mtandao wa kiuongozi kuanzia mashinani Cdm ikifanikiwa kufanya hivyo itakua imemalizia mtaji wa Ccm hii itasaidia wakati wa chaguzi kuwatumia viongozi wamashinani kujihakikishia kura, mikutano ya hadhara nimizuri kwakua ujumbe unawafikia watu wengi kwa pamoja lkn wakati mwingine nisawa na kuandika barua kisha uandike kwa yeyote anae husika, kila mtu atakua na mtizamo wake mwingine ataona labda anae husika sio mimi, ila kama ume tangulia mkutano wa ndani kwa kutumiaviongozi wa mashina itawaweka watu katika mtizamo sawa.
Nawakilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom