Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Haya nenda ukasaini buku zako 7 pale Lumumba.KWA WALE WAFUATILIAJI WA SIASA MTAKUWA NA KUMBUKUMBU KUHUSU SAKATA LA JIMBO LA SEGEREA JINSI WANA CUF WALIVYOSALITIWA NA CHADEMA,.....
MKATABA ULIOSANIWA NDANI YA UKAWA ILIKUWA NI JIMBO LA SEGEREA LILIKUWA
NI LA CUF KUPITIA UKAWA LAKINI CHADEMA WALIKOMA KUWEKA MTU WAO NA KUSABABISHA CUF KUKOSA JIMBO.
MBAYA ZAIDI HUYO ALISALITI UKAWA KUPITIA CHADEMA, CHADEMA WAKAMPA VITI MAALUMU
HUKU CUF WAKITOA MACHOZI KULIKOSA JIMBO LA SEGEREA.
LEO HII KUNA WANACHAMA BAADA
YA KULIONA HILI WANATAKA KUMRUDISHA PROFESA LIPUMBA AJENGE CHAMA MAANA 2020
HUENDA KIKANGAMIZWA KUPITIA UKAWA ,
KINACHOSHANGAZA LEO HII PROFESA ANATAKA KURUDI
ANAITWA MSALITI.
IVI KAMA KWELI LIPUMBA NI MSALITI MBONA CHADEMA UCHAGUZI 2015 ,
WALIWASALITI CUF JIMBO LA SEGEREA NA WAKAMTEUA MTU WAO VITI MAALUMU ,
SASA LEO HII LIPUMBA ANARUDI KATIKA CHAMA CHAKE KWANINI IMEKUWA NI TATIZO
KUBWA KWA CHADEMA,
NINA WASIWASI 2020 KUNA WATU WATAIZIKA CUF KAMA ILIVYOZIKWA NCCR 2015 IKIWA NDANI YA UKAWA.
sikuhukumu,bali uwelewa wako ndipo ulipokomea.ongeza kidogo,utaelewa zaidi .KWA WALE WAFUATILIAJI WA SIASA MTAKUWA NA KUMBUKUMBU KUHUSU SAKATA LA JIMBO LA SEGEREA JINSI WANA CUF WALIVYOSALITIWA NA CHADEMA,.....
MKATABA ULIOSANIWA NDANI YA UKAWA ILIKUWA NI JIMBO LA SEGEREA LILIKUWA
NI LA CUF KUPITIA UKAWA LAKINI CHADEMA WALIKOMA KUWEKA MTU WAO NA KUSABABISHA CUF KUKOSA JIMBO.
MBAYA ZAIDI HUYO ALISALITI UKAWA KUPITIA CHADEMA, CHADEMA WAKAMPA VITI MAALUMU
HUKU CUF WAKITOA MACHOZI KULIKOSA JIMBO LA SEGEREA.
LEO HII KUNA WANACHAMA BAADA
YA KULIONA HILI WANATAKA KUMRUDISHA PROFESA LIPUMBA AJENGE CHAMA MAANA 2020
HUENDA KIKANGAMIZWA KUPITIA UKAWA ,
KINACHOSHANGAZA LEO HII PROFESA ANATAKA KURUDI
ANAITWA MSALITI.
IVI KAMA KWELI LIPUMBA NI MSALITI MBONA CHADEMA UCHAGUZI 2015 ,
WALIWASALITI CUF JIMBO LA SEGEREA NA WAKAMTEUA MTU WAO VITI MAALUMU ,
SASA LEO HII LIPUMBA ANARUDI KATIKA CHAMA CHAKE KWANINI IMEKUWA NI TATIZO
KUBWA KWA CHADEMA,
NINA WASIWASI 2020 KUNA WATU WATAIZIKA CUF KAMA ILIVYOZIKWA NCCR 2015 IKIWA NDANI YA UKAWA.
ni kihiyo huyo,hajui anachokizungumza pia haamini anachokisimamia...Haya nenda ukasaini buku zako 7 pale Lumumba.
uwelewa wao ndipo ulipokomea..ukuta umewapa ukomo wa kufikiri.Kuna haja ya kuhakiki usajili wa LB7!Magu hebu waangalie hawa kama wanavyeti halali maana wanavyoandika kimwendokasi mpaka wanatia aibu!
Huyo ni kihiyo,uwelewa wake ndipo ulipokomea..Jawahi kuona thread ya kipuzi namna hii huku Jf tokea huu mwaka uanze.
Kifupi umeandika uharo mtupu...
Fikirisha akili wewe, usiwe kama mtu aliyekatwa kichwaView attachment 397164
tunaweza kusingizia buku 7 bure,hao ndo vihiyo wenyewe sasa,kama mlikuwa mnawatafuta kuwafahamu...ndo hao sasa!Buku 7 zinawatoa watu ufahamu
mbavu zangu mie jamani....Kwani Ungelala tu na kuwaza kuhusu kesho ungepungukiwa nini?
mungu hakunyimi vyote ila wewe hajakupa hata ki 1,
Huyu ni wa kumpuuza tu. Maana hajielewiHuyo ni kihiyo,uwelewa wake ndipo ulipokomea..
nafuu hata angekuwa poyoyo angeringa,huyo ni zaidi ya poyoyo eti,kwani we hujamuona kulingana na uharo alioupost?Acha poyoyo weeee
kwani uongoAcha poyoyo weeee
we uongo au ukweli unaufahamje kuhusu bandiko?kwani uongo