CHADEMA ikome kutudanganya

Propaganda za ccm ni zakutoto sn na mtu wakuzielewa lazima awe kilaza.....
 
Mkuu much appreciation....UMEONGEA VITU MUHIMU SANA NA UKWELI MTUPU........
 

Na wale wabunge wanaopitisha kila kitu bungeni kwa sauti kubwa ndiyooooooo ni bendera fuata upepo? Kama uliyosema ni kweli na yanayotokea upande wa chama kijani, basi twapaswa kutafakari kama taifa.
 
Propaganda za ccm ni zakutoto sn na mtu wakuzielewa lazima awe ******.....
Tuna MTAKA MNYIKA ATOKEE ADHARANI AKANUSHE HILI na akishafanya hivyo tunataka sikia KAULI YAKE JUU YA LOWASSA.......maana katika VIJANA safi ndani ya CDM ambao wameonekana kusimamia KILE wanachokisema MPKA SASA MNYIKA IS THE BEST........maana hajala MATAPISHI YAKE....am telling YOU THIS GUY AKIELENDELEA KUSIMAMIA KILE ANACHOKIAMINI ATA WIN TRUST YA WATANZANIA KWA KIASI KIKUBWA MNO.......<Brother MNYIKA wherever you are this is your time to make it ,, DON'T LET US DOWN>
 
hata mimi nataka fisadi lowas na mafisadi wengine wengi walioko CCM wapelekwe mahakamani...nataka hivyo..na ndio msimamo wa chadema
Huo si msimamo wa chadema acha urongo! Chadema tangu mwaka umeanza hawana agenda ya ufisadi!
 
Mimi nasema tena hapa!

Mnyika akijitokeza kwenye social network yeyoye akasema hataki Lowasa akamatwe na fisadi na ana mkubali sana na alikubali yeye kuingia chadema basi mimi nitajitoe Jf na nitaomba ban la miezi sita!
Akiba ya maneno izingatiwe mkuu
 
Hili ni jambo binafsi la Mnyika kutaka fisadi Lowasa afungwe na ni fisadi!

Ni Mnyika mwenyewe ndiye anaweza kuja kutuambia kuwa Lowasa si fiasdi na ana mkubali sana!
Kama ameshitukia na kuamua kugoma kuicheza ngoma mnayoipigia?
 
akili za bavicha zimefukiwa kwenye shimo pale ufipani.
 
Ukiwa UKAWA ni kichwa ndiyo maana unaona vijana wengi wapo upinzani na wanauwezo wakuwaburuza kwa hoja zenye afya swismswism youths buku jero mtu mmoja.[/QU
Hivi nani msomi ndani ya chadema
 
sasa mimi nakueleza unabisha...n msimamo wa chadema na ni msimamo wa lowasa...kwamba mumpeleke mahakamani yeye na wezi wakuu wengi waliopo CCM...hii ni opportunity ya kumaliza drama ya muda mrefu
Huo si msimamo wa chadema acha urongo! Chadema tangu mwaka umeanza hawana agenda ya ufisadi!
 
Hivi hata maneno Chadema itakufa mbona munayaimba kila siku tokea 2013 lakini haifi na inazidi kuwa imara. Mwaka jana kabla ya uchaguzi mkasema kwa vile Lowasa kaenda Chadema basi ndio inakufa kabisa, lakini pamoja na kuibiwa kura na mizengwe bado 40% wakanpa kura mgombea wa Chadema, majiji yakachukuliwa, wabunge wakaongezeka na vigogo wazito ndani ya ccm kana Wassira na mawaziri kadhaa wakapigwa chini.
Sasa kifo mnacho zungumzia ni kifo gani? Mbona nguvu kubwa inatumika kuzuia mikutano jambo ambalo liko kikatiba?
Tukiacha ushabiki wa mitandaoni, hali ya maisha ya raia kwa sasa imeondoa imani kabisa kwa ccm
 
duh...unahangaika..whether Mnyika yupo au anatoka...ni haki yake...so far namheshimu sana Mnyika
hahahah huyu mbona hamsemi ametumwa au mamluki. au tunasubiri mpaka abwage manyanga ndio tutoe tamko. lakini nilisema hapo awali kabisa Kamanda Mnyika ni mmoja ya wale walioathirika kiukweli kabisa baada ya kukubali kundi la watuhumiwa wa ufisadi na kusababisha kutimka kwa Dr Slaa. kidonda hiki kwake hakijapona na wala hakitapona mpaka pale maamuz magumu ya kulitimua kundi hili yafanyike. tusishangae kwa haya machache yanayotokea.
 
Upuuzi wa mleta mada anataka kutulisha upuuzi wake.

Craap!
 
Kama adui yako humjui.

Basi ujue utakimbizwa hata na kivuli chako mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…