CHADEMA ikome kutudanganya

Mhangaika bure na habari za uzushi sijui mnapata faida gani ?Msemaji wa Chadema Makene ameshakanusha bado watu hawaelewi kabisa
Ccm kwa sasa ni sawa na kuku anayetaka kutaga kuhangaika ni lazima
 
Mbona mmeshupalia sana swala la mnyika,au nyie ndio wasemaji wake?kumbe doto nyie wa story hizi zinazosambaa mitandaoni?
 
Insha
 
Mimi nasema tena hapa!

Mnyika akijitokeza kwenye social network yeyoye akasema hataki Lowasa akamatwe na fisadi na ana mkubali sana na alikubali yeye kuingia chadema basi mimi nitajitoe Jf na nitaomba ban la miezi sita!
Ngoja niweke kumbu kumbu......
 
Kwa akili zako wewe umeona umeandika nini hapo!!

Kama ungelikuwa na akili ungelikuwa umekwisha jitambua kuhusu siasa za hao Cdm
Nisiasa za paka na panya
Lakini kwakuwa ni kibogoyo wa kichwa nawe umejipa ukilanja wa wafuata upepo (vibendera)
Wewe ndiyo unajiona una uelewa gani hapo tapa? Ungekuwa na uelewa wa kutosha si ungefanya shughuli za maana?
 
Mwenye mada humjui au

Jibu kuwa Ni kwanini Myika hatoki hadharani kukanusha story hii
Kwa cheo chake kama Naibu Katibu mkuu anastahili kusemewa na Msemaji wa Chama. Sio kila upuuzi ni lazima ajibu yeye. Tambua nafasi yake katika chama sio ya kujibujibu upuuzi wenu
 
Yaani baada ya Lowasa kuja CHADEMA Nilitamani kweli kwenda ACT lakini misimamo ya watu wa ACT nikawa siielewi ni ipi,ni kupambana na CHADEMA ife ili wao wawe wapinzani wakuu?? Ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA ili kudhoofisha upinzani,au ni kupambana na CCM ili kuwasaidia watanzania?? Jibu sikulipata nkaona ni bora kubaki CDM maana pamoja na kumpokea Lowasa lakini wana nia ya kweli kabisa ya kuwatetea watanzania,na ndo maana wakaamua hata kujiweka matatani kwa MWANANCHI kwa kumpokea Lowasa ili mradi tu mkoloni mweusi ang'oke, mashambulizi haya ya kina Dotto,mcubic motochini dhidi ya vijana wa CDM na viongozi wa CDM yananipa mwanga kabisa kwamba target ya ACT ni kupambana na upinzani ili kuwapa nguvu watawala
 
Vijana wa Chadema ndio wanaoua chama. Wanashabikia kila kitu. Tumepoteza uelekeo na tusijifariji kwa makosa ya serikali ya awamu ya tano. Makosa ya JPM hayawasaidii kuwapa nyie credit zaidi ya kuchafua creditability ya chama ambacho kuna watu walijitoa kupitia mahubiri yenu juu ya ufisadi na mtandao wake ambao wengine mkaamua kuwapa nafasi ya kugombea urais. Hii itaitafuna Chadema hadi watapokubali makosa na kujisahihisha. Kama mnabisha subirini uchaguzi wa 2020 muwajue vyema watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…