CHADEMA ikome kutudanganya

Mhangaika bure na habari za uzushi sijui mnapata faida gani ?Msemaji wa Chadema Makene ameshakanusha bado watu hawaelewi kabisa
Hili ni jambo binafsi la Mnyika kutaka fisadi Lowasa afungwe na ni fisadi!

Ni Mnyika mwenyewe ndiye anaweza kuja kutuambia kuwa Lowasa si fiasdi na ana mkubali sana!
 
Mwanzo nilipoona poor Kiswahili gramma nikajua ni pumba talking hii.
A big novel with no single point & logicless.
 
Kama umelewa kilichoandikwa basi hujui kusoma,kuandika wala kuhesabu(3R's),mwenzako Ki.la.za. kaandika ugoro.....kweli mmelaaniwa No BBC No Dochivele kote kote hewa hola...back to MEMKWA.
 
Kama umelewa kilichoandikwa basi hujui kusoma,kuandika wala kuhesabu(3R's),mwenzako Ki.la.za. kaandika ugoro.....kweli mmelaaniwa No BBC No Dochivele kote kote hewa hola...back to MEMKWA.


Kwa akili zako wewe umeona umeandika nini hapo!!

Kama ungelikuwa na akili ungelikuwa umekwisha jitambua kuhusu siasa za hao Cdm
Nisiasa za paka na panya
Lakini kwakuwa ni kibogoyo wa kichwa nawe umejipa ukilanja wa wafuata upepo (vibendera)
 
Hili ni jambo binafsi la Mnyika kutaka fisadi Lowasa afungwe na ni fisadi!

Ni Mnyika mwenyewe ndiye anaweza kuja kutuambia kuwa Lowasa si fiasdi na ana mkubali sana!

hata mimi nataka fisadi lowas na mafisadi wengine wengi walioko CCM wapelekwe mahakamani...nataka hivyo..na ndio msimamo wa chadema
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
ASANTE SANA KWA UJUMBE MZURI JION YA LEO. HUO NDIO KWELI.
 
Yaani wewe badala ya kukazania kujenga na kuimarisha hiyo sacos yenu yenye mbunge mmoja kama taa ya treni unashobokea mambo ya chadema, sijawahi kumuona mtu wa ajabu kama wewe
 
duh...unahangaika..whether Mnyika yupo au anatoka...ni haki yake...so far namheshimu sana Mnyika
Nawashangaa sana watu wa ACT badala waimarishe chama chao wao wanafuatilia mambo ndani ya cdm! Kweli siasa zetu hapa bongo bado tuna safari ndefu sana na hii itafanya ccm kuendelea kutawala kwa kipindi kirefu sana
 
Naona hata wewe uko tapa kazi yako ni majungu tu maana huna lolote ujuwalo
 
Ha, ha, ha, eti "Mnyika wa enzi za Slaa sio Mnyika wa sasa" ni kama Zitto wa enzi za CHADEMA sio Zitto wa sasa. Huyu wa sasa mh!
 
Hayo ni maoni yako.....na Mnyika yuko Huru akiamua kutoka poa......ila atakuwa kachelewa kuondoka .....
Mkuu nawashangaa sana hawa vijana wa act na ccm, mnyika ni mtu huru kuamua jinsi ya kutengeneza carrier yake ya siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…