Habari wana jf, nime/tumejitahidi kuzungukia baadhi ya kata pamoja na vijiji vyake ktk wilaya ya Kibondo_kigoma na kugumdua mambo yafuatao yafanyike haraka: 1.ktk kila kijiji hakuna mikutano ya hadhara inayofanyika, hata baadhi ya viongozi wa vijiji wa cdm hawajulikani kwa wananchi.hivyo kila kijiji tulipo pita wananchi wengi wamechukua kadi wakati viongozi wa vijiji wa cdm wamekanazo.WITO, viongozi wa kata cdm waande ratiba ya kufanye mikutano ktk kila kijiji kuhamasisha wanachama.na hii ishinikizwe na uongozi wa wilaya 2.kila kata wafanye mikutano ya chama kuhamasisha wanachama na hii iratibiwe na uongozi wa mkoa na iwepo ratiba 3.kila wilaya waandae ratiba ya mikutano ya kichama na hii iratibiwe na uongozi wa mkoa na wa kanda.Mwisho uongozi wa kitaifa waandae ratiba ya kuzungukia wilaya ambazo hawajazungukia ktk kuhamasisha wanachama na hii waanzie kigoma. kwa haya tunaweza kufanikisha adhima ya kufika ikulu 2015. naomba kuwasilisha.