Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,217
Sasa hapa ndio naanza na wewe na vilaza wengine wa Chadema, rejea kwenye katiba ya Chadema unionyesho uwezo huo, na mimi nikuletee katiba ya Chadema nikuonyeshe CC ya Chadema, haina uwezo huo, uamuzi ule ulikuwa ni batili na udikiteta tuu!.
Sasa baada ya kwenda kwa maneno, twende kwa vifungu, anza wewe kuniletea vifungu vya uwezo huo wa CC ya Chadema na mimi nitamaliza kwa kukuletea vifungu ambavyo vitaonyesha CC ya Chadema haina uwezo ule!.
Wengi wa wapenzi wa Chadema humu jukaani ni empty kabisa yaani ni zero!, ili kukuepusha kukuingiza na wewe kwenye hili kundi la madebe matupu ambao kazi yao humu ni kupiga tuu kelele, sasa njoo na vifungu na sio na maneno!.
Next time ukija kutetea ujinga humu, I advise you, please be sure you know what you are talking about!.
Pasco
Ukilaza ni subjective hata wewe unaweza kuwa kilaza tu inategemea unasimamia wapi na unaongea na nani......
Nimekuuliza swali ...kama CC ya CHADEMA ilikosea ...Katiba inaainisha ni hatua gani zichukuliwe na muhusika...kukata rufaa kwa ngazi za juu...Je hilo lilifanyika na huyo zito wako?
Au unang'ang'ania kuwa just coz CC did wrong kwa hiyo na huyo zito akafanya wrong.....Pasco wakati mwingine si vyema kujikweza kwa kujua saaaaaana.
Turudi hapa kwenye mada