meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Siasa za upinzani nchini ni zao la ubepari ambao ulikataliwa na watanzania.
Tunaamini kuwa ruhusa ya kuwepo kwa vyama vya upinzani ilikuja baada ya Nyerere kukubali kwa shingo upande huku jamii kubwa ya watanzania ikikataa kwa kuhojiwa.
Ninawashangaa wanachadema kwa kuwekeza katika ushawishi unaotegemea wazungu au jamii ya kimataifa.
Binafsi siiamini jamii ya kimataifa ambayo iliruhusu libya au syria kuvamiwa na matokeo yake kuwa kama yalivyo..
Binafsi naiona jamii ya kimataifa (UN) ni sehemu ya wanafiki wa kimataifa wasio na tija yoyote kwa ustawi wa taifa.
Sioni sababu yoyote ya vyama vyetu vya siasa kujaribu kupata support ya jumuiya ya kimataifa .
Umoja wa mataifa na jamii ya kimataifa ni wanafiki wanaoshindwa kukemea mauaji ya Rohingya...hii ndio true picture ya wahuni hawa.
Wito wangu kwa Chadema;
Tujenge hoja zetu locally na tujenge hoja zetu kizalendo!