Pole..chadema wanajisumbua buleeeee....................uchaguzi hata ukirudiwa ccmmmm itashinda tena
watanzania wameichokaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kuendeleza ukabila na kunyanyasa wanachi kwa kujipendelea viti maluuuum full undugu
Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza.
Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili huu wa haki unaingiliwa sana. Lakini leo wamekuwa wepesi kusema haki imetendeka-kisa wameshinda kesi.
Je,haki inatendeka tu wakishinda chadema?Na uhuru wa mahakama unakuwa umeingiliwa pale tu ccm ikishinda kesi ya uchaguzi kama kule Arusha?
Nadhani let us give the devil his due(his being a devil notwithstanding!)
Tujifunze kutokuwa wepesi kuropoka,kulaumu,kukejeli,kutunga uongo na kutukanana/kuchafuana kusiko na msingi wala tija.

Ama kweli nyani haoni kundule, DK Hussein Mwinyi mtoto wa raisi mstaafu mwinyi, January Makamba mtoto wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Vita Kawawa???, Malima???, nk.........chadema wanajisumbua buleeeee....................uchaguzi hata ukirudiwa ccmmmm itashinda tena
watanzania wameichokaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kuendeleza ukabila na kunyanyasa wanachi kwa kujipendelea viti maluuuum full undugu
Mkuu siyo kwamba majaji wote ni wabaya. Asilimia kubwa ni majaji ambao wanatoa hukumu wakiwa wamevaa Umagamba. Pia hata hawa wanaotoa haki kinachowapata wanajua wao. Mfano mzuri ni Jaji Mwalusanya alijitahidi kutoa haki lakini alikaliwa kooni na hata hakuweza hata kupandishwa kuwa JA. Pia alitungiwa sheria ya kumbana yaani Basic Rights and Duties Enforcement Act iliyoweka majaji watatu baada ya kesi zilizopita kwa Mwalusanya, Serikali ilishindwa
Maneno mengi hayajengi,ila tukumbuke lila na fila havitangamani.PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA.MADUDU YA CCM YAMEANZA KUFICHUKA.
Yani katika hoja yooote ulichoambulia ni ‘tupa yote?'..you could be a layman in law,but you couldn‘t afford even a simple syllogysm?
Mkuu, acha kujifanya chizi. hata kama hukumu iliyotolewa leo ni ya haki, hii haiondoi ukweli kuwa uhuru wa mahakama umeingiliwa sana na hii serikali ya ccm. USITULAZIMISHE KUBADILI MAWAZO YETU KWA MHIMILI HUU WA DOLA ETI KISA, WAMETENDA HAKI KWENYE HII HUKUMU. ukweli ni kwamba mahakama inaboronga sana katika utendaji wake, kupatia kwenye hili hakufuti ukweli kuwa utendaji wa mahakama kwa hivi karibuni umekuwa m-bovu kupindukia.Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza.
Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili huu wa haki unaingiliwa sana. Lakini leo wamekuwa wepesi kusema haki imetendeka-kisa wameshinda kesi.
Je,haki inatendeka tu wakishinda chadema?Na uhuru wa mahakama unakuwa umeingiliwa pale tu ccm ikishinda kesi ya uchaguzi kama kule Arusha?
Nadhani let us give the devil his due(his being a devil notwithstanding!)
Tujifunze kutokuwa wepesi kuropoka,kulaumu,kukejeli,kutunga uongo na kutukanana/kuchafuana kusiko na msingi wala tija.
Mleta thread unadhihirisha wazi kuwa huna uwezo wa kuchambua hukumu zinazotolewa katika mahakama zetu. Au ametumwa kupima kumbu kumbu na uelewa wa Watanzania?
Wacha kupotosha watu wewe .wa Tz wa sasa wanaelewa mambo kuliko unavyo dhani wewe ,watu wanafuatilia kesi zote kwa umakini na wanaelewa vizuri