CHADEMA huwalipa wanaoandamana


Ama kweli ushavurugwa vya kutosha.Unakosa hata point ya kupost hapa jf unatuletea utumbo!Hapa siyo size yako nenfa fb.
 
Dah, DUCE hii!! Yaani hata kuelezea tu ule mtiririko wa matukio kwa uzuri na ujenzi wa hoja kwako ni bila bila, kweli wanafunzi utakaowafundisha wataelewa kitu??
Hii inanipa jibu kwa nini uko jinsi ulivyo!! Kwa nini walichagua kukutumia wewe na sio mwingine!! Kila la kheri kaka
 
Ama kweli ushavurugwa vya kutosha.Unakosa hata point ya kupost hapa jf unatuletea utumbo!Hapa siyo size yako nenfa fb.

Mkuu tulie ujuzwe! Huyu Ludo alikuwa jikoni huko chadema hivyo anajua kila kitu sasa ameanza kumwaga mboga!
 
Mkuu umekosea ni ccm ndio wanaokodi watu

Aliyeko jikoni anasema chakula kina chumvi nyingi we umekaa sebuleni unaangalia tv unakataa nini?

Fanya research ya kile alichoandika kisha ndo uje hapa kutoa povu... nyambafff
 
SWALA LA WANDAMANAJI KULIPWA sijaona kipya kilichotajwa, mi si mshabiki wa siasa kwangu tangu mdogo niliichukia pale tulipokuwa tunapangwa barabarani tangu saa 3 kumsubiri kiongozi anayepita saa 10 jioni, na hasimami zaidi ya kupunga mkono, kwa hili la malipo nilishuhudia watu wa chama fulani wakikwidana na kudaiana pesa na kutaka magari yaliowaleta toka vijijini yaletwe haraka waondoke! na hawakuwa wa chama cha mwl ludovick!
 

Mkuu matusi hayasaidii kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Kubwa la wasaliti Ludovick,
Unaweza kutuwekea ushahidi hapa namna mlivyokuwa mkiwalipa hao unaodai kuwa walikuwa eakilipwa ulipokuwa CHASO??

Wewe ni mtu wa kuogopwa kuliko UKIMWI, Kama unaweza kusakazia kesi ya Ugaidi mtu ambaye kwa upendo wake aliamua kusimamia ndoa yako tena mtu mwenyewe maskini ya Mungu alikuwa mgonjwa wa Kisukari. Wewe ukaona malipo yake ni KUMPAKAZIA kesi ya Ugaidi ili akafie gerezani huku ukijipatia Million 30 kama mshahara wako kwa kazi uliyoifanya.

Nasi hatushangai wewe kuja na hizi drama zako kwamba Chadema inalipa watu kwaajili ya kuhudhuria maandamamo kwasababu uliyoyafanya kwa Rwakatale ni makubwa na ya hatari kuliko haya. Ila aishivyo Mungu mpenda haki atamwesabia haki mwenye haki na si kinyume chake nawe hukumu yako ilikwisha kupangwa labda kama utarudi na kukili makosa yako

Kamwe hatuhangaiki na wewe kwasababu Shetani anawajua walio wake Kila tukuonapo tutakukwepa kama tumkimbiavyo nyoka

BACK TANGANYIKA
 
Aliyeko jikoni anasema chakula kina chumvi nyingi we umekaa sebuleni unaangalia tv unakataa nini?

Fanya research ya kile alichoandika kisha ndo uje hapa kutoa povu... nyambafff

Bora umenisaidia kumwambia! Ludo alikuwa jikoni hivyo anajua alicho kiandika.
 

Wewe na Ludo nani anaijua chadema? Unabishana na mtu ambaye alishawai kuwa jikoni?
 
Wewe ni mpuuzi tu na njaa zako. Hakuna kipya ulichokileta hapa jamvini. Hakuna m2 asiyejua kwamba katika shughuli mbalimbali ziwe za SIASA au za KIUTUMISHI wa UMMA, kuna baadhi hunufaika na kuna baadhi hawanufaiki. Hivyo kuja na KIJIHOJA CHAKO CHA KIJINGA HAISAIDII. Wewe kwanza ndo unatakiwa ujitathimini. Huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Buk 7 unayolipwa na MAGAMBA haikufanyi uondokane na umaskini wako. Tumia akili yako vizuri kwa ajili ya manufaa ya watz. Pole kwa kuharibikiwa na AKILI.
 

Hujajitambua!
 
Joseph Ludovick
Pamoja na yote maujinga yote hayo ya CHADEMA bado unaendelea kuwa mwanachama wa hicho chama?? mwenye akili angesha jiondoa ajiunge na wengine walio safi. Imekuaje wewe??
 
Last edited by a moderator:
- Jibu hoja kama huna kaa pembeni tumechoka na maneno yenu ya hovyo hovyo weka hoja hapa wachana na mjumbe jibu hoja zake

Le Mutuz
Kama majungu nayo unayaita hoja bora ujifie tu maana unamaliza oxygen bure!
 
Mtu duni,kabila duni wazazi wako hawakuwa na mchango kwa taifa hili,ila kuonesha nyie mkoje,mmeaibisha kabila zima,

- HAHAHAHA soma tena mada ni Chadema kuwalipa waandamanaji unataka kupoteza lengo yaani unataka na mimi niongelee wazaziw ako wasiojulikana, please tulia hapa kama unanyolewa wewe Chadema sio chama chako so tuliza boli upewe darassa ywa wanaoijua Chadema, sema kaka

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…