CHADEMA huwalipa wanaoandamana


Teh teh teh.

Mkuu Kahtaan hii dini sasa ishakuwa balaa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Tunajua hizo pesa ulizokuwa unawapa zilikuwa zinatoka Lumumba sio Ufipa
 
Kama ni kweli siwezi kumshangaa huyo mkewe kumkimbia, kwahiyo hapa anaringia ndoa ambayo kimsingi haipo tena.

Huyo jamaa ndo maana tunasema ameshachanganyikiwa.
Ni wa Kumhurumia tu
 
Teh teh teh.

Mkuu Kahtaan hii dini sasa ishakuwa balaa sasa.

Wewe Bwabwa mwenye laana ya dhambi ya udini ulishapuuzwa kitambo sana hapa JF tokea uuufyate kwenye issue ya Gas Mtwara.
 

Rudi kwenye mada mkuu. Haya mambo mkajadiliane na Nyakageni jukwaa la dini
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kuumbe! Nadhani na ile ishu ya kugawa viroba kwanza kwa waandamanaji itakuwa ni kweli.

Hiyo ni kweli mkuu
Wala usitie shaka kabisa mim ni mchaga natokea huko huku kwa mboe . Kuna sehem inaitwa SONU
Siku moja kabla ya uchuguzi jamaa aligawa sana viroba na hela mpaka wengine wakajiarshia kwa hiyo ofa ya mheshimiwa . Hii ndiyo Siri ya ushindi wa AIKAEL katika jimbo la hai na ndo sehem alikopata kura nyingi sana na mpaka sasa hivi kuna kikundi chake huwa kinatumiwa fedha kwa. MPESA ili kuratibu mambo yake yaende vizuri huku wakiendelea kupata ofa za jamaa.
Sasa ukiwaambia MAZOMBI ya cha dema utasikia chadema uko moyoni mwa or chadema ni mpango wa mungu
Kuna siku na Amin watajielewa
 

kijana ulishakuwa mpumbavu hv kumbe! Hv ANC iliwalipa waandamanaji wake?
 

dunia imebadilika sana, kama ni kweli anategemea kuendesha maisha kupitia fadhila kutoka kwa mtu yeyote basi awe makini, watu wengine watakuja kumsaidia alafu wamlewiti.
 
Kwa uharo huo hapo juu umelipwa shilingi ngapi?
 
Hatuna wachaga wasiojitambua kama wewe. Hata kuandika hujui eti Mboe khaaa!!! Unadhani mtawatoa watu kwa uzushi wa mtu aliyekwenye payroll ya Nchemba? Si huyu huyu alimpiga Kibanda ili wabambikiwe kesi chadema? Si huyu huyu alimuuza mlezi wake kwa TShs 50,000? Hakujali kuumwa kwake kisukari! Akaona bora 50000 kuliko uhai wa Nduguye Lwakatare! Kuna siku aliibuka na madai ya kupigwa na bavicha watu wakampuuza ikapotea, akiwa na chama chake Mungu akamuumbua wakapata ajali, mara Mdee hafai, mara viongozi wa Chadema hawafai, Mara Mtoi ni hatari, mara ooh sijui nini???????? Kwanini usitueleze uzuri wa chama chako tujiunge???? Kwanza bei zako ni chee sana unanunulika kwa 50 lol hata mimi naweza kukuweka kwangu ufungue geti na kufunga miaka yote ya maisha yako tena nikakulipa japo laki daily, lakini hapana watu kama nyie hamkawii kujisaidia mlangoni.
 

Mel ludovick hayo no mane no we 2mesha kujua unaang'ata name kupuliza
 
Ni mwehu tu ndiye anayeweza kuamini hayo uliyo yaandika ndugu yangu, kwa nini hukuyaandika wakati ukiwa kwenye good terms na CHADEMA wakati ule ili tujue kama kweli wewe ni msema kweli
 

Ok
Nilitegemea majitu kama nyie mngejitokeza ,huenda na wewe ni miongon mwa mnaofaidika na huo mgao wa MPESA wa mboe huko SONU na Bomang'ombe
 

Kujikomba kwingine bhanaaaa, gharama yake ni kubwa!!!!!!!
 
Ok
Nilitegemea majitu kama nyie mngejitokeza ,huenda na wewe ni miongon mwa mnaofaidika na huo mgao wa MPESA wa mboe huko SONU na Bomang'ombe
Mboe ni nani wewe kilaza mwan haramu mtoka pabaya!?Halafu unajiita kabila lisilo lako!! mafi kunuka!!
 

Ni bora kuwa kwenye payroll ya Nchemba kuliko ya wariberali wa Mbowe na sijui atawalipa nini hao wazungu wanaomfadhili huku nyie mkitokwa mapovu kwa jazba, By the way, Vipi amesharudi kutoka South kula bata!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…