Mwandiko wako unatanabaisha kiwango chako cha Shule ni kidato cha nne ambaye ulihitimu enzi za division 5 na ulipata hiyo division 5.Unajuwa mm chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha nakunitukana sana. Hawajamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi nibora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa zakumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikin wakujitakia kwa maskin wachache ndan ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovukuwatoka nakujifanya wanashawishi akina lisu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia zakula pesa..
Chama chakijan wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa yabunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wakwenye makanisa na misikiti na misibani ila this tm hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Eti maCcm kamahaya ndio wanajitapa eti chadema itapumulia mashine!Unajuwa mm chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha nakunitukana sana. Hawajamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi nibora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa zakumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikin wakujitakia kwa maskin wachache ndan ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovukuwatoka nakujifanya wanashawishi akina lisu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia zakula pesa..
Chama chakijan wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa yabunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wakwenye makanisa na misikiti na misibani ila this tm hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Mnavyo mchafu Magu hamna kazi nyingine au nimekupa za macho inauma.. Hheehheehe1 Hauna kazi nyingine
2 Kwanza jitahd kuedit umandazi wako kabla ujapost amma we level yako ya shule ni vidudu
3Acha kuwashwawashwa mzee
4 Pray for Lissu
5 Pambana na hali yako
Sema nimekupa za macho au za tumbo.hhehee nimegusa pabayaMwandiko wako unatanabaisha kiwango chako cha Shule ni kidato cha nne ambaye ulihitimu enzi za division 5 na ulipata hiyo division 5.
Hehehehe usingejibu ningeshangaa sana. Maana ya jicho inaumaEti maCcm kamahaya ndio wanajitapa eti chadema itapumulia mashine!
Maskini hata mwandiko tu wa kibashite chekunde wewe.
M4 mmetapeliwa wenzenu wanakula nchi.. Nyie mnaweka mia mia kweli wajinga ndio waliwaoPumba tupu
Heheehehe kama wewe sio mnufaika funguka mwana umeliwa tutusa na kengeza.Nilichogundua kuna watu wakisikia jambo lolote kuhusu michango ambayo haiko chini yao WANAWASHWAWASHWA kweli.