Oyaaa, Bwana JU, ndivyo kama wajua wachina watamkavyo, kama hujui Zhu inavyotamkwa kichina na ndivyo tunapaswa kukuombea, unaweza ukawa na wazo zuri, lakini kazzma uwezo wako wa lugha ni dhaifu na hukubali, maneno yako mbofu mbofu yataaminika kwa nani? Kiswahili chajitosheleza, kitumie usione aibu kitakusaidia.