Hii nchi ilivyo ya ajabu, magazeti ya kijinga na kishenzi kama haya yanatamba mtaani, tena yakiwa na habari za kipuuzi na kijinga. Magazeti mahiri na makini yalikwisha fungiwa zamani sana. Huu ni ujinga, kuliacha hili gazeti na kulifungia mwanahalisi ni uendawazimu.