residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Na tangu kauli za kuwa viongozi wanatakiwa wawe na K tatu,kumejitokeza wimbi kubwa sana la watu wanaoipigania CCM kwa lengo la kupewa uongozi. Hii ina maana kuwa wale wa KKK wameiona fursa ya kuwa viongozi,hivyo wanajitahidi ili waonekane,kwani ndio wakati wao huu.Rejea utafiti wa TWAWEZA utagundua aliyeuliza swali anatoka upande gani.
Viongozi wao wanawasisitiza wajue kusoma na kuandika tu.