Serekali ingetoa muda mwingi kufanya deep analysis za forces behind the CHANGES and not the Personalities involved! The forces which are carrying out some social economy changes can peak out any personalities... and its better that Personalities should be the government itself!!
Kwa mfano kwanini kukimbizana na Hon G Lema badala ya kuchukua ule WARAKA WAKE 2011 kabla ya kujiachia Gerezani na kuulunganisha na ujumbe wa Azimio La Arusha la 1967... na kuchukua hatua zinazotakiwa Kijamii! Ni waraka wa G Lema ni wa Azimio la UTU NA UBINADAMU kurejea Mtaani that is all ... nani haoni hivyo?
Kwa sababu kama ni mahitaji ya jamii kuhitaji UTU kama UPENDO, UTU kama HESHIMA na UTU kama MATUMANI ... sio lazima vuguvugu lianzishwe na G Lema ... anybody.. could do that! Na kwa sababu yeyote ile ...KIONGOZI mmjoa akiondoka .. ataotokea mwingine..na akiondoka huyo... atatokea mwingine ..kwani hakuna ushahidi...?
Hata hivyo nimetumia Maneno UPENDO, HESHIMA na MATUMAINI ...kwani ndio msingi wa Azimio la Utu lililofikiwa huko arusha 1967. WaanzIilishi kama peresonalities ...hawapo ..lakini mbona ..ndio hoja zimetawala WARAKA wa Hon Lema? ... Mbona ndio forces zinatawala Jamii ya Kitanzania? Kwa mfano VioNgozI wote wa Kidini na serekali wamesema BIG NOOO! kwa ndoa za jinsia moja ..WHY?
Ni kinyume na UTU NA UBINADAMU wa Kitanzania. So? Bora kufa kwa njaa lakini kulinda UTU NA UBINADAMU wa Kitanzania ...Hivi wanaona wanachokisema... Si Azimio la UTU wa Mtanzania hilo la mwaka 1967. Wanamaanisha wanachosema? Yaani wako tayari kukaa mistari kupimiwa unga, sukari , sabuni ... kwa ajili ya UTU NA UBINADAMU WAO ..IS THIS A BIG JOKE!!!??
Watazania leo wanadiriku kusema wako tayari kukaa kwa njaa ..lakini .. wasimfuatie masharati ya watoa misaada wa nchi za nje? Kwani hii jeuri ya kiutu ili kusimamia Ubinadamu na heshima ya Mtanznaia haipo kwenye azimo la arusha!!? It has nothing to do with Chadema, CCM neither G Lema ..ni swala la Kitaifa. Kwani kila mtu mwenye ufahamu na busara anaona na anafahamu kuwa kama leo wafadhili wametamka hadharani kuhusu ni ndoa gani.. siku nyingine ..watatutamkia wake zetu au binti zetu (Mungu aepushie mbali) ...
Lazima kuamka na kujiuliza nini kimetokea miaka 50 ya uhuru bado tunategemea Wafadhali na kutamkiwa matamshi yasiyo na adabu kama Taifa huru, yanayovunja HESHIMA, UTU NA UBINADAMU WA MTANZNAIA!! ...again here there is no chasing personalities ..its all about SOCIAL FORCES AND PRINCIPLES!!
Its Forces no Personalities!!
Serekali na vyombo vyake vingejifunza kuachana na PERSONALITIES na Kujikita Zaidi na PRINCIPELS. Kama dunia nzima iko kwenye mabadiliko yasiyozuilika cha msingi haijalishi ni nani atakuwa anayafanya. Kumtafuta mtu .. unataka kumfanya nini..? na Historia anasemaje juu ya hilo?
Kwa mfano UTU wa Mtu unaweza kuzima MABOMU yote ya Nuklia dunia kwa sekunde moja tu! Sasa wewe unataka kuzima nguvu za kijamii kusukuma kurejea UTU mtaani..Unataka kutumia nini? Cha msingi ni kusimamia vuguvugu la mabadiliko ya UTU NA UBINADAMU kwa KUJADILIANA na Bila CHUKI na VITISHO!