CHADEMA hawana heshima, Rais Samia ametua Arusha wao wamejaza bodaboda barabarani kumsubiri Lema

Uwepo wa, mtoti haikuifanyi chai Ikose wanywaji. Kila mtu atakunywa apendacho
 
Viongozi wa Chadema mnataka kuongoza nchi kwa namna hii kweli? Kiongozi wa nchi kaingia Arusha kwa shughuli za kiserikali halafu nyie mnafanya vurugu barabarani na bodaboda eti tunamsubiria Lema?

Mnamvunjia heshima Rais, chawa wake wakikasirika msije kusema nchi haina demokrasia maana mmevuka mipaka.

Huyo huyo mnaemvunjia heshima ndio mnatumia majengo yake ya serikali kupata huduma.

Mimi nawaambia tu na kuwashauri kuweni na heshima kwa kiongozi wa nchi, Leo Mbowe anazunguka nchi nzima na hakuna anayemfanyia vurugu wala dhihaka, ndio democracy, sasa iweje mmeamua kufanya fujo huko arusha, halafu mtu mwenyewe mnayekwenda kumpokea alikimbia mwenyewe nchi kwa maslahi yake binafsi, Lema ana impact gani?

Who is Lema in this country, amewafanyia nini cha maana sana hadi Leo muache shughuli za kutafuta mkampokee, halafu mlivyokuwa hamjui itifaki, mlianza kumpokea Tundu Lissu makamu halafu mtu mmoja anaitwa Lema ndio anafuata, kwahiyo nyie Lema ni zaidi ya Lisuu, mxiuuuu
Unawivu wa kike ndugu
 
Hizi akili zenu kwamba kiongozi akitua shughuli na mipango ya watu isimame na nchi yenyewe maskini hii sijui mlizitoa wapi.
Kapokelewa na viongozi wa serikali inatosha.
Anayetaka kwenda kwenye mahubiri aende, anayepga kazi apige, anayeenda kwenye mkutano wa chadema aende.
Kila mtu afanye yanayomhusu.
 
Viongozi wa Chadema mnataka kuongoza nchi kwa namna hii kweli? Kiongozi wa nchi kaingia Arusha kwa shughuli za kiserikali halafu nyie mnafanya vurugu barabarani na bodaboda eti tunamsubiria Lema?

Mnamvunjia heshima Rais, chawa wake wakikasirika msije kusema nchi haina demokrasia maana mmevuka mipaka.

Huyo huyo mnaemvunjia heshima ndio mnatumia majengo yake ya serikali kupata huduma.

Mimi nawaambia tu na kuwashauri kuweni na heshima kwa kiongozi wa nchi, Leo Mbowe anazunguka nchi nzima na hakuna anayemfanyia vurugu wala dhihaka, ndio democracy, sasa iweje mmeamua kufanya fujo huko arusha, halafu mtu mwenyewe mnayekwenda kumpokea alikimbia mwenyewe nchi kwa maslahi yake binafsi, Lema ana impact gani?

Who is Lema in this country, amewafanyia nini cha maana sana hadi Leo muache shughuli za kutafuta mkampokee, halafu mlivyokuwa hamjui itifaki, mlianza kumpokea Tundu Lissu makamu halafu mtu mmoja anaitwa Lema ndio anafuata, kwahiyo nyie Lema ni zaidi ya Lisuu, mxiuuuu
Ratiba ya kuja Lema ilitumwa mwezi mmoja kabla,Mama yako kaingilia ili kuvuruga mapokezi ya Lema.
 
Na imebuma! Nasikia viongozi walio lazimika kumpokea Rais walikuwa wamenuna maana wamekosa tukio muhimu ambalo ni nadra kuliona kwa miaka mingi! Furaha ya kumpokea mtu wa watu!
 
Hawa watu wakitujibu vibaya tunakasirika
Badilisha hiyo kauli majengo ni kodi zetu wote
Ccm tuna vipaumbele na strategies zetu acha wafurahi uchaguzi tunashinda sisi
Acha kuishi kwa Mazoea..A wise man changes his mind....a fool never will🏃🏃🏃
 
Kwani msafara wa Lema umevamia msafara wa mkuu wa nchi?

Kila mtu siafika kwa muda wake?
Naona kilichokukera na watu walipochagua wamfuate nani na kwa wakati gani
Wacha watu waelekee kwa wanaemtaka. Imenyesha umejua panapovuja sasa kaziyako kuziba matobo hayo wala usipambane na mvua
 
Viongozi wa Chadema mnataka kuongoza nchi kwa namna hii kweli? Kiongozi wa nchi kaingia Arusha kwa shughuli za kiserikali halafu nyie mnafanya vurugu barabarani na bodaboda eti tunamsubiria Lema?

Mnamvunjia heshima Rais, chawa wake wakikasirika msije kusema nchi haina demokrasia maana mmevuka mipaka.

Huyo huyo mnaemvunjia heshima ndio mnatumia majengo yake ya serikali kupata huduma.

Mimi nawaambia tu na kuwashauri kuweni na heshima kwa kiongozi wa nchi, Leo Mbowe anazunguka nchi nzima na hakuna anayemfanyia vurugu wala dhihaka, ndio democracy, sasa iweje mmeamua kufanya fujo huko arusha, halafu mtu mwenyewe mnayekwenda kumpokea alikimbia mwenyewe nchi kwa maslahi yake binafsi, Lema ana impact gani?

Who is Lema in this country, amewafanyia nini cha maana sana hadi Leo muache shughuli za kutafuta mkampokee, halafu mlivyokuwa hamjui itifaki, mlianza kumpokea Tundu Lissu makamu halafu mtu mmoja anaitwa Lema ndio anafuata, kwahiyo nyie Lema ni zaidi ya Lisuu, mxiuuuu
Eti majengo yakeee! Nyanoko
 
Back
Top Bottom