CHADEMA hawamtaki Lowassa wanataka pesa yake

CHADEMA hawamtaki Lowassa wanataka pesa yake

East African Eagle

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
3,759
Reaction score
2,209
Chadema kwa sasa iko hali mbaya kifedha baada ya kubwagwa na wafadhili wake wengi walipogundua kuwa CHADEMA kumejaa mchwa wala hela za wafadhili.

Mfadhili mmoja alishtuka alipokuja nchini kukuta anakartibishwa hotelini kwa mazungumzo badala ya ofisi ya Chama. Alipowaambia tukafanyie mazungumzo ofisi ya CHAMA wakasingizia kuwa ofisi iko kwenye ukarabati mkubwa.Baadaye mwenyewe aliamua peke yake kuchukua gari ya kukodi ya tours ili wampeleke ofisi ya makao makuu ya CHADEMA ilipo.Alichokiona hakuamini macho yake na alipoambiwa kengo lile sio mali ya CHADEMA wamepanga na akakuta hamna cha ukarabati wala nini aliandika ripoti mbovu mno na alipiga picha ya hicho kiofisi iliyokimbiza wafadhili wengi.

Sasa hivi Lowasa waliyekuwa wakimwita fisadi usiku na mchana wanamlilia ajiunge nao lengo si kuwa wanamtaka Lowasa wanaitaka hela yake waitafune barabara na iwasaidie bila kujali Lowasa atashinda au hashindi.Katika mazungumzo Lowasa hata kama atataka kwenda huko awaulize CHADEMA wamejiandaaje upande wa kifedha za kampeni za kumfanyia kampeni aone jinsi watakavyoanza kujishebedua.CHADEMA wameshawaambia hata baadhi ya wagombea ubunge kuwa safari hii kila mtu atabeba mzigo wake wa gharama wasitegemee kuna helikopta ya Mheshimiwa mwenyekiti mbowe ya kuwabebea hizo gharama.

Pesa ya Lowassa inawindwa hasa.Na huko CHADEMA kuna mchwa wala hela wanaokula kavukavu bila hata kunywa maji kidogo ya kuteremshia tonge.Anyway hela ni zake ana uhuru wa kuzitumia atakavyo lakini kumpa angalizo si vibaya.
 
mkuu hii chadema ya akina mbowe ni yawapiga dili tu. hamna kiongozi hapo na wala mtu asikudanganye.
 
chadema wanalilia lowasa ajiunge CDM kisa pesa zake ?!

operesheni sangara + m4c... pesa alitoa lowasa ?! acha upu.u$zi
 
Chadema kwa sasa iko hali mbaya kifedha baada ya kubwagwa na wafadhili wake wengi walipogundua kuwa CHADEMA kumejaa mchwa wala hela za wafadhili.Mfadhili mmoja alishtuka alipokuja nchini kukuta anakartibishwa hotelini kwa mazungumzo badala ya ofisi ya Chama alipowaambia tukafanyie mazungumzo ofisi ya CHAMA wakasingizia ofisi iko kwenye ukarabati mkubwa.Baadaye mwenyewe aliamua peke yake kuchukua gari ya kukodi ya tours ili wampeleke ofisi ya makao makuu ya CHADEMA ilipo.Alichokiona hakuamini macho yake na alipoambiwa sio ofisi ya CHADEMA wamepanga na akakuta hamna cha ukarabati wala nini alianfdika ripoti mbovu mno na alipiga picha ya hicho kiofisi iliyokimbiza wafadhili wengi.

Sasa hivi Lowasa waliyekuwa wakimwita fisadi usiku na mchana wanamlilia ajiunge nao lengo si kuwa wanamtaka Lowasa wanaitaka hela yake waitafune barabara na iwasaidie bila kujali Lowasa atashinda au hashindi.Katika mazungumzo Lowasa hata kama atataka kwenda huko awaulize CHADEMA wamejiandaaje upande wa kifedha za kampeni za kumfanyia kampeni aone jinsi watakavyoanza kujishebedua.CHADEMA wameshawaambia hata baadhi ya wagombea ubunge kuwa safari hii kila mtu atabeba mzigo wake wa gharama wasitegemee kuna helikopta ya Mheshimiwa mwenyekiti mbowe ya kuwabebea hizo gharama.

Pesa ya Lowassa inawindwa hasa.Na huko CHADEMA kuna mchwa wala hela wanaokula kavukavu bila hata kunywa maji kidogo ya kuteremshia tonge.Anyway hela ni zake ana uhuru wa kuzitumia atakavyo lakini kumpa angalizo si vibaya.
mwanzoni mlisema lowasa hana madhara kwenu sasa vijana wake,viongozi wa vijiji na mitaa, madiwani wanaondoka kwenye ccm mmeanza kujamba jamba.mwaka huu lazima suruali ziwashuke
 
alipo Lowasa tupo

Direction is more important than speed. We are so busy looking at our speedometers that we forget the milestone.

TAARTIIIBU ILA KWA UHAKIKA!

Makada hakuna anayeshawishi watu kwenda CDM ni hasira tu na watu ni kama wanalipa kisasi. Makada waacheni wanaotaka kuwa ccm au UKAWA, 4U si chama lakin kina wanachama wa vyama mbalimbali. Mjue pia tunatofautiana kwa maauzi na uwezo wa kutulia kabla ya kufanya jambo. Kuna watuni first oriented kila jambo anataka awe wa kwanza tena wamuone. Ni njema kwake huyo lakini wapo ambao hupiga hesabu saa na kupima upepo ndo waamue, hao pia msiwaone wanachelewa. Kuna wanaoamua lakini kusema wanachelea, hao nao tunso. Nawaomba watu wangu itikaditunazo toka awali lakini mwelekeo wetu hadi sasa ni PUSH EDO INTO MAGOGONI kama anasimama lazima wawepo wa kumsukuma. Hakuna aliyemchafua EDO kama CCM lakini mbona bado yumo humo? Msimamo wa SLAA kwa EDO ulikuwa wa kisiasa na si wa dhati, SLAA hakuwa na kosa siasa zilimtuma na CCM hawana makosa siasa zawatuma, sisi tutende kwa dhati popote tulipo tuonyeshe kuwa OUR HERO IS THE NATIONAL HERO watatujua tu with time watatukubali. You are born a Tanzanian before you are a partisan somewhere do Tanzanian responsibilities responsibly utaona wanaulizana kwani huyu jamaa chama gani? Hapo sasa ndo utasema UKAWA AU CCM! LOVE YOU ALL MA FIGHTERS!
 
There is no significance difference between CDM and CCM.

I want to reject that null hypothesis but i failed to reject it.....simply because there is no enough evidence to prove otherwise.
 
Back
Top Bottom