CHADEMA: Hatuchukui tena makapi toka CCM

CHADEMA: Hatuchukui tena makapi toka CCM

Aaaah mimi hili nililisemea mapema kabisa Dr Slaa hana huo uwezo wa kishindana na Makapi maana yeye mwenyewe ni zao la makapi hata akileta ubishi wenye chama watamuuliza mbona hata wewe ulikuwa kapi na tukakupokea na uongozi tukakupa?

kuweni na heshima kidogo kwa viongozi wenu waliowaletea sifa katika vyama vyenu!
 
mpenzazoe hakuenguliwa ila alijiondoa mwenyewe kabla bunge la9 halijavunjwa
 
Tatzo m'ekariri wanachotaka wananchi, CCM wanafanya wanachohitaji wananchi hyo ndiyo shida yenyewe.
 
Back
Top Bottom