dokta slaa tafadhali achaneni na mpango wa kumchukua lowasa ni fedheha kwa chama na upinzani kiujumla. tujifunze kwa nccr walipomchukua mrema 1995.
Dr Slaa yupo kwenye wakati ngumu kuliko hata Edo
Dr Slaa yupo kwenye wakati ngumu kuliko hata Edo
Dr Slaa yupo kwenye wakati ngumu kuliko hata Edo
Tupa kule makapi ya interahamwe
Hana lolote yeye mwenyewe alikuwa kapi la CCM na aliondoka CCM kwa sababu hizo hizo anazozikataa yeye