Kyindokyakombe
Member
- May 1, 2012
- 95
- 96
Mkuu kwa nini Mh Mbowe asisimame tena.Huyu mzee naona makali yake yamepungua Jembe langu mbowe ndo natupia karata kwake.
mkuu bora mzinifu anayependa nchi yake na kuionea huruma au bora mtakatifu anayeuza nchi yake??wabongo mmechanganyikiwa nyie,mmelogwa hamjui mlikotolewa wala mnakopelekwa
Mkuu kaa nayo hiyo kura yako ya maruani,maana masharti yake ni magumu sana!!!I go for Mnyika..though i am not CHADEMA, he is very firm on issues kuliko hao wengine...slaa, kwakweli i did not like him neither will i vote for him, ila akigombea Mnyika, mhh nitapata moyo wa kumpigia kura
Mkuu kaa nayo hiyo kura yako ya maruani,maana masharti yake ni magumu sana!!!
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.....