chadema hapa vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema hapa vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kitalolo, Oct 27, 2010.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  jamani chadema imekuwaje baadhi ya maeneo tunasikia hakuna mawakala sasa mnategema nini si mtakuja kutulalamikia baadae kuwa kura zetu zimechakachuliwa? kwamfano huko simanjiro kwenye kata ya shambarai hakuna hata kituo kimoja chenye wakala wa chadema watueleze kulikoni hapo pamenikatisha tamaa kabisa ya ushindi niliokuwa nautegemea
   
Loading...