Ni muhimu sasa akina Mbowe na Lissu wajitathmini wenyewe kama bado wana uhalali wa kuwa viongozi baada ya kukiuza chama kwa maccm kijinga vile?Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE
Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....
Poleni sana kinachotokea march12-15 April hio gharika IPO mtalia kabisa watakaohama hukooView attachment 1364570
Shida ya hawa, waliasi kwa kusaidiwa na Askofu mkuu wa kanisa na wachungaji wake.Hata makanisani pia kuna watu wanaasi na kurejea tena kwenye mabaa. That's normal.
Walitwambia mafisadi wamekimbilia Chadema na kwamba wameanzishiwa mahakama yao. Sas wamejipeleka CCM si wawashughulikie?BASIASI, Hebu tusaidie mkuu Wale Mafisadi waliokuwa wanaambiwa wako Chadema je wako chama gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni akili au matope?Nani ambaye analalamika hao jamaa kuhama?Ccm ndio wanalalamika wapinzani kuhama lakini hakuna anayelalamika zaidi sisi tunafurahia tu maana kwanza wana utoto kisiasa,wana akili kisoda.Hakuna akili kubwa kutoka upinzani iliyohama wengine wote ni vilaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app