Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE
Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....
Poleni sana kinachotokea march12-15 April hio gharika IPO mtalia kabisa watakaohama hukooView attachment 1364570
kamanda mnatafuna vyuma lazima memo yang'okeLikewise na ccm walivyo kuwa wanawatukana wale walio kuwa wanahamia upinzani na kuwaita majina ya ajabu ajabu na wale vijana wao wa mitandaoni wakawatukana kina Lowasa.
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu kuleni matapishi yenu tu
In God we Trust
Kung'oka mmeanza nyinyi maana tayari mmekula matapishi yenu hasa wewe ambaye ulikuwa unamtukana sana mzee Lowasa matusi ya nguoni.kamanda mnatafuna vyuma lazima memo yang'oke
mkikaza shingo zitakatika,karma inawatafuna, Mbowe ni Mrema ajaye mwaka 2025Kung'oka mmeanza nyinyi maana tayari mmekula matapishi yenu hasa wewe ambaye ulikuwa unamtukana sana mzee Lowasa matusi ya nguoni.
Lkn sasa hivi mwenyekiti wenu kaamua kukung'oa meno yako kwa kumrudisha lowasa ndani ya ccm.
In God we Trust
mkikaza shingo zitakatika,karma inawatafuna, Mbowe ni Mrema ajaye mwaka 2025
Nani ambaye analalamika hao jamaa kuhama?Ccm ndio wanalalamika wapinzani kuhama lakini hakuna anayelalamika zaidi sisi tunafurahia tu maana kwanza wana utoto kisiasa,wana akili kisoda.Hakuna akili kubwa kutoka upinzani iliyohama wengine wote ni vilaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app

Balozi ameomba poo kwa Chawene!Akisha kuwa Mrema ndiyo itamuondolea ban Bashite ya kwenda USA?
In God we Trust
Balozi ameomba poo kwa Chawene!
Nani ambaye analalamika hao jamaa kuhama?Ccm ndio wanalalamika wapinzani kuhama lakini hakuna anayelalamika zaidi sisi tunafurahia tu maana kwanza wana utoto kisiasa,wana akili kisoda.Hakuna akili kubwa kutoka upinzani iliyohama wengine wote ni vilaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE
Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....
Poleni sana kinachotokea march12-15 April hio gharika IPO mtalia kabisa watakaohama hukooView attachment 1364570
Mapema ilikuwa 2015 lakini akaingia cha kike....!!!!Mbowe aliliona hilo mapema na ndiyo maana walipotaka kuingia ndani zaidi li wakamate chama, akashtuka na kuwaambia wajumbe kuwa sumu hailambwi, na huwezi kikiachia chama watu wasio kuwa na uchungu nacho maana hicho chama kimejengwa kwa jasho na kwa damuza watu wengi.
Utasemaje hili kutoka chama lizee?Mimi huwa nacheka sana nikisoma hizi siasa uchwara yaani siku Lowassa anaingia chadema protoco ilivunjwa na mwenyekiti akaenda kumpokea Lowassa wakati hakuna hata mwanachama...!!!
Leo tunaambiwa ana akili kisoda sasa kati ya Lowassa na mbele nani ana akili kusoma?
Na mwenyekiti anasema alichoangalia ni Lowassa kaja na mtaji sasa huo mtaji hayo yanayotokea si ndio majibu yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kung'oka mmeanza nyinyi maana tayari mmekula matapishi yenu hasa wewe ambaye ulikuwa unamtukana sana mzee Lowasa matusi ya nguoni.
Lkn sasa hivi mwenyekiti wenu kaamua kukung'oa meno yako kwa kumrudisha lowasa ndani ya ccm.
In God we Trust