CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Wakuu nimeipata hii youtube, inatisha na huwezi kuamini.

mikakati mikubwa inachorwa na kutekelezwa na watu tunaowaamini ni wanamapinduzi na wanamageuzi.

Hii sasa hatari.

Jionee na kusikiliza mwenyewe ukweli huu kutoka kwenye youtube. Huyu anayeongea na kupanga mikakati ni MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILLIFRED LWAKATARE akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi mwandamizi wa mwananchi ambaye ni threat kubwa kwa CHADEMA na ambaye ni rafiki mkubwa wa Zitto.

Anatolea mfano wa matukio mengine waliyoyatekeleza kama lile la kumwagiwa tindikali MUSSA TESHA huko Igunga na kuuawa kwa kijana katika vurugu za CHADEMA na polisi huko Morogoro ambapo tuliambiwa ameangukiwa na kitu chenye ncha kali..

==========================================================
MANENO YALIYOANDIKWA KUAMBATANA NA VIDEO YANASOMEKA HIVI:
==========================================================




VID-20121228-00005 - YouTube
 
Last edited by a moderator:
kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......
 
BOMB SHELL CHADEMA na UTEKAJI NYARA WAANDISHI

Wakuu naomba tutafakari kwa kina hii video ya mkakati wa utekaji nyara ambao ulikua ukielezewa hapa kwenye video na mkuu wa kitengo cha usalama(utekeji) ndani ya chadema,huyu ni Wilfred Lwakatare zamani alikua akifanya kazi na CUF,Je hapa alikua akimtarget nani?????????????????????????? ????? je ni Dk Ulimboka?? je ni Kibanda??

maswali mengi kuliko majibu, pata video.
 
Naona kuna jamaa anasemwa kuwa ni mkali wa kuchonga plan lakini haonekani mahali!!!

This may turn out to be very interesting...
 
Anasema ukimuwekea mtu dawa akalala halafu unambeba unampeka kwenye sehemu mbali sana ambako hajawahi kufika, akiamka unakuwa umeshampa message kubwa na unakuwa umemshusha kabisa atajua hawa jamaa siwawezi!!!
 
Independent Voter

Mkuu kuna sehemu nimekusoma ukimtaja huyó ndugu kuwa ni mtu hatari sana,unaweza kufafanua kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Anasema unaweka mazingira ya kumuonyesha kuwa umemfanyia tendo kutokana na kazi yake kwa kumuwekea ujumbe mfukoni. Akiamka anajikuta Kigamboni, mwenyewe ataacha.
 
Naona kuna jamaa anasemwa kuwa ni mkali wa kuchonga plan lakini haonekani mahali!!!

This may turn out to be very interesting...
Kutokana na hii clip naanza kupata mwanga.... Huyo aliyeiposti hii clip LAZIMA atakakuwa kwa njia moja ama nyingine anahusika. Baada ya kuipata, akaamua kumshambulia Kibanda ili ionekane mzungumzaji kwenye hii clip ndie muuaji.... Kwa hiyo hata Ridhiwani alipoposti ile kejeli facebook alikuwa na maana kubwa sana na huenda anajua undani wa kila kitu...
 
Magamba hata mfanyeje, hamtaweza kuubadilisha ukweli uliopo akilini mwa watanzania kwamba Dr. Ulimboka na Kibanda wametekwa na Mbwa wa Magamba na nyie mitakataka mnaokuja kuandika upuuzi ili kutaka kuwapoteza watu, subirini ukombozi ukifika, hamtatutoroka!
 
Kuna jinsi ya kuweza kujua hii video imepigwa lini?

it's not gonna help either,all in all huyo anaezungumza ni mkuu wa kitengo cha usalama(utekaji)cha chadema,anaitwa wilfred lwakatare,that is a reality,sio tetesi..unless aikane video hii,sura yake na sauti yake! michango naona imepungua kwa kuwa chadema kwa video hii imeshikwa pabaya,na naishangaa polisi kumuacha huyu muuaji akiendelea kutamba mitaani licha ya ushahidi huu wa wazi
 
Heeeee Jamani mbona mambo mazito sana haya! Kumbe aliyoyaema Zitto ni ya kweli? Kumbe hata kule Igunga walifanya wakaumiza mtu akapata sympathy toka kwa watu na vyombo vya habari.

Hii inatisha? Hii si mipango myema hata kidogo.

Hii sasa funga kazi
 
undani ni kwamba kitengo cha usalama(utekaji)chadema kinahusika sana,inabidi turudi nyuma mpaka kwenye kifo cha chacha wangwe,pengine huyu bwana ndio aliengineer ile "ajali"
 


Hizi zote ni nadharia. Ili zithibitike inabidi polisi watoe taarifa ya uchunguzi wao kwanza.
 

kaka mambo mazito sana,nimekula ban nimekuja kivingine,ntarudi kivile mwisho wa mwezi,but chadema is a disaster!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…