CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Independent Voter

Mkuu kuna sehemu nimekusoma ukimtaja huyó ndugu kuwa ni mtu hatari sana,unaweza kufafanua kidogo.

Ni bingwa wa kupanga na kutekeleza mikakati kama hii ya ku silence watu hata kule zanzibar kawafanyia mambo mengi sana cuf.Kma chadema ikishika madaraka(mungu apishie mbali) ndio atakua mkuu wa usalama wa taifa
 
Itafaa tukimpata Lwakatare mwenyewe atufafanulie alikuwa na kina nani na walikuwa wanaongea nini.

Najua Slaa atasema hayo ni maswala yake binafsi lwakatare na hayana uhusiano na chadema ndio maana inafaa kumpata yeye mwenyewe Lwakatare.
Kama kuna mtu ana namba yake haiweke hapa jamvini tumtwangie.

Mkuu ZeMarcopolo haya hayawezi kuwa mambo binafsi haya ni mambo ya Chama kabisaaaaa
 
Last edited by a moderator:
okey sawa na je hapo mkuu wa usalama wa chadema lwakatare alikua akielezea mkakati wa kumteka nani labda?

Ndugu, inaonekana hata wewe huenda unajua mengi kuhusu jaribio la kuta kuuawa kwa Kibanda. Kwenye Clip nimesikiliza mara mbili mbili lakini hakuna sehemu anayosema Kibanda.
 
Hapana umechanganya taarifa tu,huyu ni wilfred lwakatare mkuu wa usalama ndani ya chadema!

Acheni propaganda nyie watu, kwa wazi inaonekana nyie ndio mnahusika mnatafuta kila njia ya kuficha. Kuna ile story ya kidokozi wa mboga akibambwa yeye ndo wakwanza kusema si mimi, mmeshasema si mimi hadi South Afrika....Hii video ya lini? yawezekana ni ile Mwigulu Nchemba aliipigia kelele maana ni mipango yake...unacheza na CCM wewe?

tafuteni njia nyingine hili mmechemsha.

Wa kwanza kuhojiwa ni walioleta hii clip.
 
Ndugu, inaonekana hata wewe huenda unajua mengi kuhusu jaribio la kuta kuuawa kwa Kibanda. Kwenye Clip nimesikiliza mara mbili mbili lakini hakuna sehemu anayosema Kibanda.
Hata kama haimtaji mtu lakini wewe huoni kuwa hili ni jambo la hatari,kitengo cha usalama cha cdm kinajadili namna ya kuteka mtu.
 
Sasa naamini hawa watu wanaokuwa madarakani ni hatari sana, mi sina shaka yoyote hii mipango ya kuitoa hii clip ilikuwa ikisubiri hesabu tu za nani awe sadaka ya mfano na kibanda akawa target nzuri ya Ccm, ni vizuri Mwigulu atafutwe lazima anajua mengi yaliyompata Kibanda, Mungu atawaumbua manyang'au gawa
 
Acheni propaganda nyie watu, kwa wazi inaonekana nyie ndio mnahusika mnatafuta kila njia ya kuficha. Kuna ile story ya kidokozi wa mboga akibambwa yeye ndo wakwanza kusema si mimi, mmeshasema si mimi hadi South Afrika....Hii video ya lini? yawezekana ni ile Mwigulu Nchemba aliipigia kelele maana ni mipango yake...unacheza na CCM wewe?

tafuteni njia nyingine hili mmechemsha.

Wa kwanza kuhojiwa ni walioleta hii clip.

Hii video inaonekana imepigwa tarehe 28/12/2012...kwa mujibu wa clip 2012-12-28 YYYY/MM/DD.
 
Mbona huyu ni Lwakatare wa CUF wa enzi zile? Si amevaa jezi ya CUF hapo? Lakini,kwa mitandao na ukuuaji wa teknolojia,kila kitu kinawezekana

kaka kwanini hamtaki kuamini kwamba mwandishi aliekua anazungumziwa hapo ni kabanda hasa kutokana na mahusiano yake na mbowe kulegalega baada ya kuhamia HABARI CORP kwa Rostam Azizi!
 
Hili liewakaa kooni CHADEMA. Hili ni kaa la moto na aibu kubwa sana kwa CHADEMA. Mnapanga kuwaumiza watu? Hivi yule kijana aliyejeruhiwa kule Igunga kwa tindikali yuko wapi? Naona kazi ilifanywa na akina Rwakatare.
Yaani kuna vitu viwili hapa huwa najiuliza.....Hivi Chadema kila mtu ni msaliti?Kwa sababu kila anayeaminika kuwa ndiye mwenye Chama,anafanya visivyo....Na huyo Kijana aliyekuwa anamrekodi anaonyesha kabisa alijua anataka amrekodi huyo Mzee,ndio maana yeye alikuwa haongei mengi ambayo ni Negative....Na kama ni hivyo,mpaka akaamua kufanya hivyo(wakati bado anaaminiwa kwamba anaweza kuambiwa habari za siri---kwa sababu ni za uovu),basi huko Chadema kuna wengi wana manung'uniko ambayo hawayasemi,bali wanaamua kulipua tu taaratibu

Jambo la Pili ninachoshindwa kuelewa hapo ni kwamba nitawatofautisheje wanaotawala na hawa wanaojitambulisha kwamba wao wako tofauti nao.....Ndio maana naona aliyesema "Wote ni mashetani,Chagua uliyemzoea hakukosea".....halafu Lwakatare ni very smart....hajataja jina la mtu utadhani alijua hapa anarekodiwa....lakini nadhani ni mkongwe wa mbinu za Kiovu.....halafu zile Konyagi na Pombe nadhani zilikuwa ni kwa ajili ya Vijana watakaokodiwa kufanya huo unyama.....Kwa hiyo hata kama yeye anasema "Kupiga nondo ama kuua sio sawa,nadhani watu wanaotumwa wakishakunywa Konyagi hilo wanalisahau kabisa"...

Ninaanza kuamini kwa mbali basi kwamba aliyokuwa anayasema Mwigulu Mchemba kwamba anayo video ya Chadema wanapanga mauaji ni ya kweli....uuuuh...I just hope hii sio video aliyokuwa anaisema Mwigulu
...Mmmmmh....Nani atatupeleka Nji ya ahadi jamani kama tunaumbuliwa hivi?
 
Mawazo yako yameoza. Unawezaje kufikia conclusion za kijinga namna hii kwa hiyo video ambao mengi huyajui. Au wewe utakuwa mmoja wa wahusika kwenye mkakati huo! BADO nasisitiza kumpata mhusika sasa ni rahisi sans kama utakuwa na wapelelezi wa maana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom