CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Amin amin nawaambia, baada ya Wakenya, lazima ICC itapata washitakiwa kutoka Bongo soon.
 
Anasema unaweka mazingira ya kumuonyesha kuwa umemfanyia tendo kutokana na kazi yake kwa kumuwekea ujumbe mfukoni. Akiamka anajikuta Kigamboni, mwenyewe ataacha.
Kwa hiyo hapa siyo mipango ya mauaji kama alivyosema Mwigulu! Anyway hata hivyo hatujui context ya mazungumzo ipoje, hatujui walianzia wapi kuongea na walifikaje hapo. Kwa hiyo hii video kwa jinsi ilivyo, sijaona ikitoa hukumu ya moja kwa moja kwamba labda Lwakatare anatoa maoni yanayokiwakilisha chama chake au inapangwa mikakati ya kufanya hayo anayoyasema. Naona kwa kiasi kikubwa anaongelea kama kwa mifano. Lakini kizuri ni kwamba hakuna aliyewekewa hiyo spray akapelekwa kokote, lakini wapo waliopigwa na kuteswa sana na serikali. Inaelekea serikali ya CCM ilikuwa bado haijaigundua hii mbinu ya Rwakatare, ambayo hailengi kupiga wala kumuumiza mtu popote, bali kumpa ujumbe kwa njia ya amani.
 
Utawadanganya wenye ubongo hafifu kama wa kwako!
tatizo wewe ni katika wale wanopenda kuona kile wanachoamini na si kuamini kile wanachokiona,wenye macho wanaiona hiyo video,you cant cover up kitu kilichowazi kwenye mitandao and every thing,chadema has to come clear kwenye hili,mambo ya kuisingizia serikali kwa uovu wa wenu yamefikia mwisho,mungu ana mambo yake ona mnavyodharirika sasa,kumbe hata chacha wangwe yalimkuta yatokanayo na vikao kama hivi vya mikakati ya lwakatare!shame on you guys
 
ndio tunaishangaa polisi kwa kuiogopa chadema,huyu mtu alitakiwa kuwa anaisadia polisi now

Sasa naamini saa ya Mungu kuikomboa Tanzania iko njiani. Mungu amewapiga maluweluwe baada ya kupata hii clip mkaenda kuandaa mpango na kutaka kumwuua Kibanda ili ionekane ni Chadema wamemuua. Mlivyo na akili ndogo kuna clue nyingi sana mmeacha na kikiwa na wapelelezi waliobobea siku moja watakuwa wameshampata mhusika. Mmejileta wenyewa katika kutapatapa.
 
Kwa hiyo hapa siyo mipango ya mauaji kama alivyosema Mwigulu! Anyway hata hivyo hatujui context ya mazungumzo ipoje, hatujui walianzia wapi kuongea na walifikaje hapo. Kwa hiyo hii video kwa jinsi ilivyo, sijaona ikitoa hukumu ya moja kwa moja kwamba labda Lwakatare anatoa maoni yanayokiwakilisha chama chake au inapangwa mikakati ya kufanya hayo anayoyasema. Naona kwa kiasi kikubwa anaongelea kama kwa mifano. Lakini kizuri ni kwamba hakuna aliyewekewa hiyo spray akapelekwa kokote, lakini wapo waliopigwa na kuteswa sana na serikali. Inaelekea serikali ya CCM ilikuwa bado haijaigundua hii mbinu ya Rwakatare, ambayo hailengi kupiga wala kumuumiza mtu popote, bali kumpa ujumbe kwa njia ya amani.

Yaani mtu kukutegeshea dawa ya usingizi kwenye gari yako na kukubeba mpaka sehemu ambayo hujawahi kufika akuache huko ni njia ya amani???
 
Kwa hiyo hapa siyo mipango ya mauaji kama alivyosema Mwigulu! Anyway hata hivyo hatujui context ya mazungumzo ipoje, hatujui walianzia wapi kuongea na walifikaje hapo. Kwa hiyo hii video kwa jinsi ilivyo, sijaona ikitoa hukumu ya moja kwa moja kwamba labda Lwakatare anatoa maoni yanayokiwakilisha chama chake au inapangwa mikakati ya kufanya hayo anayoyasema. Naona kwa kiasi kikubwa anaongelea kama kwa mifano. Lakini kizuri ni kwamba hakuna aliyewekewa hiyo spray akapelekwa kokote, lakini wapo waliopigwa na kuteswa sana na serikali. Inaelekea serikali ya CCM ilikuwa bado haijaigundua hii mbinu ya Rwakatare, ambayo hailengi kupiga wala kumuumiza mtu popote, bali kumpa ujumbe kwa njia ya amani.

we vipi??!!! una masikio na macho kweli wewe?sasa unataka uambiwe nini tena zaidi ya aliyokuwa akiyafafanua huyo mtu mzito kabisa ndani ya chadema tena kwa kirefu huku akiruhusu na maswali kkutoka kwa watekelezaji wa mkakati,inasikika live bila chenga kwamba ulikua ni mkakati dhidi ya mwana habari na ameenda mbali kwa kudai chadema haitatajwa moja kwa moja bali ameelekeza zinunuliwe temporary sim card kwa ajili ya kufanya vitisho!unataka nini zaidi ya hapo ilhali ushahidi wa kimazingira unatoa fursa hata kwa mtoto wa darasa la saba kuelewa maana!
 
tatizo wewe ni katika wale wanopenda kuona kile wanachoamini na si kuamini kile wanachokiona,wenye macho wanaiona hiyo video,you cant cover up kitu kilichowazi kwenye mitandao and every thing,chadema has to come clear kwenye hili,mambo ya kuisingizia serikali kwa uovu wa wenu yamefikia mwisho,mungu ana mambo yake ona mnavyodharirika sasa,kumbe hata chacha wangwe yalimkuta yatokanayo na vikao kama hivi vya mikakati ya lwakatare!shame on you guys
Nasemaje, NI ccm wame-take advantage ya hii video na kuamua kuua ili upande mwingine uonekane umefanya hii shughuli.
 
Anasema unaweka mazingira ya kumuonyesha kuwa umemfanyia tendo kutokana na kazi yake kwa kumuwekea ujumbe mfukoni. Akiamka anajikuta Kigamboni, mwenyewe ataacha.

Mkuu hali inatisha. Tunahangaika na kuwaleta FBI kumbe FBI wa kwetu wapo! Huyu jamaa aliyeleta hii clip yupo ndani kabisa ya CDM na hii ni scandal kubwa sana kwa CDM. CHADEMA wamevuliwa nguo mchana kweupeeee kumbe ndivyo walivyo?

CC Ritz TUMBIRI
 
Last edited by a moderator:
Sasa nna amini Ccm wanahusika na yaliyompata kibanda for sure waliipata hii clip ya kumchunguza huyo mtu anayeiumiza Chadema na wakattake advantage kwa kumvamia kibanda, thats why hao watu hawatakuja kupatikana
 
we vipi??!!! una masikio na macho kweli wewe?sasa unataka uambiwe nini tena zaidi ya aliyokuwa akiyafafanua huyo mtu mzito kabisa ndani ya chadema tena kwa kirefu huku akiruhusu na maswali kkutoka kwa watekelezaji wa mkakati,inasikika live bila chenga kwamba ulikua ni mkakati dhidi ya mwana habari na ameenda mbali kwa kudai chadema haitatajwa moja kwa moja bali ameelekeza zinunuliwe temporary sim card kwa ajili ya kufanya vitisho!unataka nini zaidi ya hapo ilhali ushahidi wa kimazingira unatoa fursa hata kwa mtoto wa darasa la saba kuelewa maana!
Hizi mbinu za kizamani sana mnazototumia.
 
Nasemaje, NI ccm wame-take advantage ya hii video na kuamua kuua ili upande mwingine uonekane umefanya hii shughuli.

Hili liewakaa kooni CHADEMA. Hili ni kaa la moto na aibu kubwa sana kwa CHADEMA. Mnapanga kuwaumiza watu? Hivi yule kijana aliyejeruhiwa kule Igunga kwa tindikali yuko wapi? Naona kazi ilifanywa na akina Rwakatare.
 
Mkuu hali inatisha. Tunahangaika na kuwaleta FBI kumbe FBI wa kwetu wapo! Huyu jamaa aliyeleta hii clip yupo ndani kabisa ya CDM na hii ni scandal kubwa sana kwa CDM. CHADEMA wamevuliwa nguo mchana kweupeeee kumbe ndivyo walivyo?

CC Ritz TUMBIRI

Itafaa tukimpata Lwakatare mwenyewe atufafanulie alikuwa na kina nani na walikuwa wanaongea nini.

Najua Slaa atasema hayo ni maswala yake binafsi lwakatare na hayana uhusiano na chadema ndio maana inafaa kumpata yeye mwenyewe Lwakatare.
Kama kuna mtu ana namba yake haiweke hapa jamvini tumtwangie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom