Chadema hamjui mnazidiwa na mzee wa mpako

Kama imeshindikana kuwa na redio au gazeti basi nunueni vipindi kwenye tv na redio na andaeni vipeperushi, cd na vijarida vya habari zinazowahusu. Watu hawakuelewa kwanini mlitoka bungeni mara mbili. Kwa hili la kujitangaza mnazidiwa hadi na MZEE WA MPAKO. Habari za kuhusu chadema kunasemu hazifiki kabisa. Zinafika propaganda tu kuwa ni chama cha vurugu udini na ukabila na watu wanahamini hayo. Napenda kuona chadema inafanya kazi kisayansi zaidi.

Kuanzia kubuni sera kujitangaza na kupigania haki. Mazungunzo yenu na JK KUHUSU KATIBA yasiwafunge mdomo. Mlikuwa kimiya mgomo wa madaktari. Mko kimiya madai ya walimu. Mko kimiya madai ya wafanyakazi. Kwa chadema imara hatutaitaji wanaharakti wala hasasi za kiraia.

TUNAOMBA TUMWONE SLAA ANAHUTUBIA TAIFA HATA KILA MWEZI KWENYE TV REDIO NA CD KUPITIA MKUTANO WA HADHARA NA KUONESHA MBINU MBADALA za kuokoa taifa. Ahutubie ikitokea sintofahamu yoyote inaohusu chama na taifa na si kuacha tbc ipige propaganga. Tujue uelekeo wa chama na kadharika.

SIAMINI KAMA HAMNA FEDHA. INAMAANA MNAWEZA MKAWA MNAZIDIWA KIPATO NA MZEE WA MPAKO. Weka kipindi maalumu tuone na hojazenu ata mnazozitoa bungeni msitegemee magezeti pekee watu bush hawawaelewi

Mzee wa Mpako ndo nani? Sisi tunamjua wa Upako. Anyway, ushauri mzuri, umechangia?
 
Mzee wa UPAKO anatumia miujiza aliyoshushiwa usimfananishe na wanasiasa matapeli, wanaohubiri wasioyatenda. Wanatumia helcopter wakati wanafunzi hawana madawati mashuleni.

Kwani mzee wa Upako amechangia madawati shule gani? Na yale ya kanisani kanunua yeye?
 
Kama imeshindikana kuwa na redio au gazeti basi nunueni vipindi kwenye tv na redio na andaeni vipeperushi, cd na vijarida vya habari zinazowahusu. Watu hawakuelewa kwanini mlitoka bungeni mara mbili. Kwa hili la kujitangaza mnazidiwa hadi na MZEE WA MPAKO. Habari za kuhusu chadema kunasemu hazifiki kabisa. Zinafika propaganda tu kuwa ni chama cha vurugu udini na ukabila na watu wanahamini hayo. Napenda kuona chadema inafanya kazi kisayansi zaidi.

Kuanzia kubuni sera kujitangaza na kupigania haki. Mazungunzo yenu na JK KUHUSU KATIBA yasiwafunge mdomo. Mlikuwa kimiya mgomo wa madaktari. Mko kimiya madai ya walimu. Mko kimiya madai ya wafanyakazi. Kwa chadema imara hatutaitaji wanaharakti wala hasasi za kiraia.

TUNAOMBA TUMWONE SLAA ANAHUTUBIA TAIFA HATA KILA MWEZI KWENYE TV REDIO NA CD KUPITIA MKUTANO WA HADHARA NA KUONESHA MBINU MBADALA za kuokoa taifa. Ahutubie ikitokea sintofahamu yoyote inaohusu chama na taifa na si kuacha tbc ipige propaganga. Tujue uelekeo wa chama na kadharika.

SIAMINI KAMA HAMNA FEDHA. INAMAANA MNAWEZA MKAWA MNAZIDIWA KIPATO NA MZEE WA MPAKO. Weka kipindi maalumu tuone na hojazenu ata mnazozitoa bungeni msitegemee magezeti pekee watu bush hawawaelewi

Mzee wa Mpako ndo nani? Sisi tunamjua wa Upako. Anyway, ushauri mzuri, umechangia?
 
Hilo ni wazo jema Sana CDM walipe umuhimu Mkubwa na Mi Na Mwomba kwa Heshima Kubwa kabisa Dr Slaa kama anaamini atakuwa mgombea Urais basi Afikirie haraka swala la NDOA kwa kweli waungwana wote linawakera kuona bado anakua na Mchumba mpaka sasa. Shida Iko wapi Mkuu? Mi sitaki niamini kama Imekushinda kupata Mahali Plz think twice
 
Hakuna ulazima wa CDM kutoa mwongozo ama matamko katika ugomvi wa Serikali na wafanyakazi wake, ikifanya hivyo itakuwa inathibitisha madai ya magamba kuwa migogoro hiyo ina agenda za kisiasa toka CDM.

Kwa sasa hakuna haja ya kuwa na vipindi kama vya Mzee wa Upako, CDM inatakiwa isifanye kazi kwa porojo za kwenye media, itekeleze program zake kimya kimya kama ifanyavyo ili magamba yasijue mikakati ya watu makini.

CDM endeleeni vivyo hivyo, hakuna haja ya kuwaiga magamba kwani wameishiwa hoja na wananchi wameshawachoka, tunasubiri 2015 tufanye kweli!
 
I think simple way ni kutoa vijarida kila mwezi for free kwa watu, wawape wauza magazeti na wauza vocha or waajiri watu wao wawasambazie, vijarida vieleze plans zao, nia zao kwa Taifa na what wameshafanya na ni kipi wanataka wananchi waonyeshe utayari wao katika kushirikiana nao na washirikiane nao na viongozi wa Taifa kwa ujumla ili nchi iende sawa
 
Kama imeshindikana kuwa na redio au gazeti basi nunueni vipindi kwenye tv na redio na andaeni vipeperushi, cd na vijarida vya habari zinazowahusu. Watu hawakuelewa kwanini mlitoka bungeni mara mbili. Kwa hili la kujitangaza mnazidiwa hadi na MZEE WA MPAKO. Habari za kuhusu chadema kunasemu hazifiki kabisa. Zinafika propaganda tu kuwa ni chama cha vurugu udini na ukabila na watu wanahamini hayo. Napenda kuona chadema inafanya kazi kisayansi zaidi.

Kuanzia kubuni sera kujitangaza na kupigania haki. Mazungunzo yenu na JK KUHUSU KATIBA yasiwafunge mdomo. Mlikuwa kimiya mgomo wa madaktari. Mko kimiya madai ya walimu. Mko kimiya madai ya wafanyakazi. Kwa chadema imara hatutaitaji wanaharakti wala hasasi za kiraia.

TUNAOMBA TUMWONE SLAA ANAHUTUBIA TAIFA HATA KILA MWEZI KWENYE TV REDIO NA CD KUPITIA MKUTANO WA HADHARA NA KUONESHA MBINU MBADALA za kuokoa taifa. Ahutubie ikitokea sintofahamu yoyote inaohusu chama na taifa na si kuacha tbc ipige propaganga. Tujue uelekeo wa chama na kadharika.

SIAMINI KAMA HAMNA FEDHA. INAMAANA MNAWEZA MKAWA MNAZIDIWA KIPATO NA MZEE WA MPAKO. Weka kipindi maalumu tuone na hojazenu ata mnazozitoa bungeni msitegemee magezeti pekee watu bush hawawaelewi

Tutajitahidi tuache kuwa KIMIYA,tutaanzisha na HASASI kama mzee wa MPAKO
 
Kama CDM ingekuwa inauza ile bidhaa mbona wangekuwa na TV kama ya BBC kwahiyo hatuwezi kushindana na mzee wa upako
 
Back
Top Bottom