ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Mnayaona ya CDM tu, kwani huko CCM kuko shwari?? Poleni CCM na endeleeni kujipa moyo, ila ukweli wenyewe CCM ilishabomoka kitambo.Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Ndugu yangu fikiri kabla ya kuandika nadhani hujazunguka na hata CHADEMA yenyewe hujaijua kabisa unaongea bila kuifanyia kazi.
makamanda wamekuwa waimba taarabu twitter na insta huku mshauri wao mkuu ni dada mange please hide my idMwasisi wa Ujasiri wa Makamanda 2005-2015 ni Mkwere anaitwa Jakaya Kikwete na tangu astaafu Ukamanda wa Makamanda umeishia kwenye tweeter
Na Instagram ku post mafumbo!
Wameshaanza kutwangana makonde huo muda wa kufanya kampeni watautoa wapi. Afadhali tu wajifanye kuzila.Mwasisi wa Ujasiri wa Makamanda 2005-2015 ni Mkwere anaitwa Jakaya Kikwete na tangu astaafu Ukamanda wa Makamanda umeishia kwenye tweeter
Na Instagram ku post mafumbo!
CCM ilishazikwa kilichobaki ni tume na polisi.Mkuu ccm imekaa madarakani nusu karne lakini sasa hivi imezibitiwa na mtu mmoja kila mwana ccm kanywea huoni kama ccm ndiyo ipo kwenye jeneza?