Chadema hakuna mgogoro wowote

Tanzania tangu tumeanza mfumo wa vyama vingi, we have never had any serious opposition, hivyo hao wanaitwa wapinzani, actually ni kama wapinzani, hivyo watakaoingizwa kwenye hiyo GNU ya 2025 ni hao hao ni kama!.
P
Una hoja dhaifu sana , wasio Wapinzani mngewaua wa nini sasa ? masumu mliyowategea na uchawi mliowategea ulikuwa wa kazi gani ?

Kama hawakuwa wapinzani mikutano ilizuiliwa na yule dikteta ili uwe nini ? wizi wa kura hadi kutengeneza ile ofisi masaki ili iweje , katiba mpya inaogopwa na wakina Mizengo Pinda hadi limekuja shinikizo la Wazungu kwanini ?

Mkuu haiwezekani wewe tu utuone wote sisi ni wajinga , unakosea sana !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
GNU huku Haiwezekani,

Imeshindikana kutekelezeka SUK zenji, haitowezekana kwetu. Chama kile kile hakiwezi badilika huku.

Pesa za Umma zinaibwa maridhiano yakiendelea, kama Si dharau ni nini?

Maridhiano ni KATIBA mpya, maridhiano ni Tume huru ya Uchaguzi baas.
 
Chama makini kimeshasema. Huu ndio ukweli
 
Ccm nchini kiboko Yao LISU ,Huwa nawaza mungu akimuhitaji Lisu akamsaidie kwenye mambo ya kisheria huko mbinguni

M-badala wake tutampataje ,kizazi hiki Cha kuwaza NJAA binafsi hiki
Lissu anatambulika kama Chief Whip Opposition Leader
 
Mrema ni chawa wa Mbowe, ni suala la muda tu wataanza kumkaanga Lissu, alikuwepo heavyweight Dk. Slaa, alikaangwa baada ya kutofautiana na mmiliki wa chama, sembuse Chiba ambaye hajui Siasa, majukwaani anafanya kazi ya sheria na uwakili, Kila dakika ni hoja za kisheria, hajui uchumi, hajui sayansi ya jamii, anadhani Yuko Darasani anajibu mitihani ya sheria
 
Kwa hiyo covid walitolewa bungeni?

Kumuelewa Pasco sharti usiwe umekunywa bendera ya chama
 
Dr Slaa alikimbia Chadema baada ya kununuliwa na CCM kupitia kwa dalali Mwakyembe , na baadaye akatunukiwa ubalozi , mnapotunga uongo wenu muwe na kumbukumbu , video za kununuliwa kwa Dr Slaa bado zipo , mkileta ujinga tutaziweka hewani .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kwa level fulani ya ufahamu Dr Slaa alinunuliwa. Kwa level nyingine ya ufahamu Dr Slaa alifadhaishwa na kitendo cha viongozi we ziwe kumleta CHADEMA awe kiongozi. Hivyo akaona amesalitiwa kiasi kuwa List of Shame kuondolewa kwenye hiyo list. Alidiriki kusema choo kilichonuka nje yaani ufisadi sasa wamekileta chooni wao CHADEMA. Sasa ni upi ufahamu wenye hoja?
 
Aliyemleta Lowassa Chadema ni Dr Slaa Mwenyewe , huku yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa juu anayeijua Katiba ya Chadema vizuri sana, kwamba mwanachadema wa miaka 10 hana tofauti na mwanachadema wa wiki 1 ,

Hata yeye mwenyewe alipokelewa chadema akitokea ccm alikodhulumiwa kugombea ubunge , sasa ajabu ilikuwa nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sisemi kuna mgogoro CHADEMA. Ila kwa sasa inanilazimu nitabasamu tu, kucheka ntacheka baadae.

Lakini nisieleweke vibaya hapa. Sitegemei pawepo na mgogoro CHADEMA.
 
Ok, ok! Hebu twambie karopoka nini maana inaonekana una akili sana wewe!
Aache kupiga kelele kinyume na makubaliano yao chamani, hata kama kile anachokizungumza kina maana.

Lakini lazima ajue aseme nini akiwa majukwaani ili kuepusha kuwachanganya wanachama wao, kama ambavyo sasa wapo walioko kwenye maridhiano, huku yeye akionesha maridhiano hayana maana.
 
Wew babu ukae kwa kutulia kabisaa huna hoja ya maana zaidi ya kutetea tumbo lako.
Duh...!.
Hoja zako za kuwatetea covid19 sasa hivi umezifyata baada ya kugundua kuwa Watanzania sio watu wanao okotwa majalalani kama wew na mwenzio profesa macho kibudu.
Kesi iko mahakamani, subiria matokeo, utashangaa!.
Usitupotezee focus endelea na makala zako uchwara za kizuzu.
Mjifunze kuwa na shukrani, ni makala hizi hizi uchwala za kizuzu, ndizo zilizonuombea msamaha mtu wenu Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
na baada ya makala hiyo kusomwa, jambo likafanyika na nikatoa makala nyingine kushukuru Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!, mhusika mwenyewe ni muungwana sana, ni mtu wa shukrani, very appreciative, ila nyie chawa wake!.
Hizo hizo makala uchwala za kizuzu, zinapowatendea mema, uwe ni mtu wa shukrani kama ilivyo kwa baniani mbaya kiatu chake dawa!.
P
 
huu ushauri utasababisha wamlambe risasi zingine huko mbeleni halafu zigo lote wamtwishe mama wa wàtu na serikal yake.
 
babuu... achana na hao washenzi, ujuaji mwingi wakati vichwani hamna kitu wakejaa bangi na maneno ya kulishwa plus chuki sisizo na maana Kwa CCM.

mtu ambaye anakaa na kushupaza shingo kubisha eti mbowe alishinda Ile vita ni wa kupuuza yaani ni mpuuzi.
 
Demokrasia ni lazima passport na fikra na maoni mbadala. Ni kawaida, ni muhimu.

Utofauti sio kitu kibaya. Lakini unafiki ndio ni kitu kibaya sana.

Wazushi huita mgogoro mara crisis nk lakini inabaki kuwa moja ya njia nzuri ya kupata mawazo mbadala na hoja zenye afya.
 
Acha uongo wewe

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hear say. Dr. Slaa kwa moyo mmoja eti akae mwza moja na Lowassa? Sio mtu mwenye dhamira inayomsuta atakayefanya hivyo, sio Dr W. Slaa
 
Hear say. Dr. Slaa kwa moyo mmoja eti akae mwza moja na Lowassa? Sio mtu mwenye dhamira inayomsuta atakayefanya hivyo, sio Dr W. Slaa
Sasa kama unabisha hata alichokisema mwenyewe tukusaidieje ?

Ni hivi , Dr Slaa na Rafiki yake Askofu Gwajima ndio waliomleta Lowassa Chadema , Mbowe aliambiwa tu kwamba tumemleta Lowassa , haya aliyasema Slaa mwenyewe mbele ya vyombo vya habari , sasa labda hawakutaka agombee Urais , lakini Dr Slaa aweza kuwa msahaulifu , aliingia Chadema Siku 2 tu akateuliwa kugombea Ubunge

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…