hii ni mojawapo ya ID za malaria sugu?
pumba zako tulishazichoka ..........!
go to hell
Ushuz uliopost unanuka mpaka kichefuchefu! Hv kesho anakwenda kutalii wapi au hata wewe hujui?
Tap tap tap tap tap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
huu upepo wa nn huku ,Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni, Mhe Zitto Kabwe alionekana jukwaani akiwahutubia wana-Kigoma na kuwaeleza kuwa chama chake hakina noma na JK. Aliifagilia CCM kwa jinsi inavyoleta maendeleo nchini bila kubagua maeneo kwa sababu za itikadi.Mhe Zitto anastahili kupongezwa kwa kuwa mkweli. Yafaa wanachama wa cdm ktk JF wajifunze kutoka kwake, si kukandia kila kitu ... eti kwa kuwa kimeletwa na Serikali ya CCM. CDM kuna kiongozi mmoja tu wa kweli, ni Zitto Kabwe. Wengine wote ni wasanii.